Recent content by Mtungunyu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

    Itakuwa humpendi mwenza wako mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Una makundi mangapi ya WhatsApp?

    Niunge mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu

    Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake tutarejea. Amiin!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mke malaya, nimfanyaje?

    Endelea kukaa naye, ni mke wako huyo na ulimchagua mwenyewe mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Toyota harrier old model rangi nyeusi yenye 2160cc na four cylinder unayo mkuu? Inagharimu kiasi gani mpaka kuitia mkononi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Darweshi ni nani?

    Kuswali Mnaleke au Darweshi ni mtu ambae hana muujiza wowote. Kikubwa hana elimu ya dini na kwa kuthibitisha hilo wkt analingania anatumia lugha ya matusi. Namfahamu vizuri saana kwani sote tu wenyeji wa kijiji cha Mumburu wilayani Masasi
  7. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF wenyeji wa Lindi na Mtwara tukutane hapa

    Liwale hapa wakuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Songea Boy's RUVUMA tufahamiane

    O level 98-2001,jubilei ya miaka 50. Headmaster mzee Kusilawe
  9. M

    JamiiForums Tanzania TCRA wanaifahamu App ya MS Tanzania?

    Utapeli mpaka jamii_forums? Hiyo application haifanyi kazi isipokuwa ni utapeli tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na mtu mnafiki kazini

    Kuna kaukweli fulani hapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tifu (varangati) kali laibuka siku 12 tu baada ya ndoa, kisa hiki hapa..

    Hilo ni sharti gumu saana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jaribu leo, mke wako hatakusaliti kamwe

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujutia mchepuko?

    Michepuko mingi ni pasua kichwa, wanataka huduma kama njia kuu vile!
Back
Top Bottom