Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Mnajua mwanamke akifikia hatua ya kukuweka lockup alafu wewe unajifanya kidume kwa kumpiga utakuja ozea jela ukasahau majukumu yako!ndio maana nimewaambia nimepitia mengi sana mengine ni aibu kuwambia watu ila kwa sasa nina furaha kubwa sana ambayo niliipoteza kwa muda mwingi.hivi mwanamke anakuambia tuuze maeneo na kila kitu tuilichochuma kila mtu afanye yake alafu aunataka umige utakua unahamu ya jela!kama umepanga nyumba unaweza hama ukamuachia kila kitu kuepusha shari ila sio kuuza ardhi
 
Kuna kitu umefeli juu ya huyo mwanamke,kwa hilo jibu hakika alishakutathimini kitambo na akakuweka kwenye kundi lake ambalo sizani kama unayotena thamani ya kua mume
Mkuu usijichoshe kama mmekutana town wote mlishaanza kwichikwichi kinachotakiwa heshima tu!ila usishindane na ulipotokea mkuu waulize wazee utapata majibu sahihi
 
Mi huwa nashndwa kuelewa,mwanaume anashndwaje kumfukuza mwanamke nyumban kwake
mkuu sio kila jambo unafikilia sijafanya ila omba mungu usikumbane na kilamsazi kama hiki!nilishafukuza na kupiga sana mwishowe inaishi ktk vyombo vya sheria unashindwa fanya yako.labda nikuambie inapofikia mgawane mali ujue umeingia ktk mtihani hapo kwa maisha haya!hakuna siku nilijuta nikaamua kua mpole tu nitumie njia za kidipromasia zaidi.
 
kugawana mali na mwanamke hilo nilshalikataaga n bora hzo Mali nihonge zote ili kushinda kesi,sasa hapo muishi tu kama kaka na dada
 
kugawana mali na mwanamke hilo nilshalikataaga n bora hzo Mali nihonge zote ili kushinda kesi,sasa hapo muishi tu kama kaka na dada
Ukikubali kugawa mali tambua watoto ndio watakaopata tabu ni ujinga kugawana mali kwa uzembe wa watu wazembe mie ilifikia hatua nilisema kama huko mzigo ningemuandikisha mama yangu na wajukuu zake ndio warithi wangu!ila sasa hivi ni amani full
 
kagombe,
Pole sana mkuu, hapo ukikaa vibaya unaweza hata muachia nyumba huyo mwanamke, ila kuwa makini sana, usipaniki unaweza shangaa hata huwa anatoaga tigo kwa huyo jamaa na ww hujawahi hata jaribu
 
Pole sana mkuu, hapo ukikaa vibaya unaweza hata muachia nyumba huyo mwanamke, ila kuwa makini sana, usipaniki unaweza shangaa hata huwa anatoaga tigo kwa huyo jamaa na ww hujawahi hata jaribu
Kuoa familia duni sana nayo ni tatizo.Namanisha uduni wa mali na ubongo
 
kagombe,
Bila kuwa emotional....kuna kitu hujaweka wazi hapo!!!Baada ya yeye kukuuliza hayo maswali nini kiliendelea?Kwa maana baada ya kumuuliza juu ya ulichokiona ktk simu majibu ya mke yalikuwa nini? Huenda pia ulikuwa unamtuhumu kitambo na kuvizia simu yake naye akaamua ukuonesha kwa namna hiyo!!!!Anyway
 
Back
Top Bottom