GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,697
Umefika wakati sasa kwa wanachama wa Jamii Forums ambao ni wenyeji wa Lindi
na Mtwara kukutana hapa na kufahamiana. Lengo na kupaza sauti zetu pale itakapolazimika,
kuelezana changamoto mbalimbali zinazotukabili na namna ya kuzitatua. Changamoto hizi
zinaweza kuwa zile Tunazokabiliana nazo kutokana na watendaji walioko serikalini kama
vile watu wa Ardhi n.k, au kupeana taarifa mbalimbali kama mwenzetu amekwama kwa
namna ambavyo unaweza kuhitajika msaada wa Hali au Mali n.k
Na mengi mengineyo ambayo tunaweza kuyafanya, Karibuni tufahamiane.