Recent content by Mtumsafi

  1. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Asante sana mkuu,nimekuta nina deni hata la mwaka juzi na wale wana niliwapa ganja ya maji wakaushe:rolleyes:
  2. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania UTT acheni ubabaifu kuhudumia wateja

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu kama pesa hakikisheni mnafanya kazi zenu kwa weledi.Dunia iko kidijitali lakini mnafanya makosa...
  3. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Trump alipomtembelea Papa Fransis Vatican

    Dig more kuhusu rangi za mavazi na mahalia,pia official colours za jesuit ni kanzu ya Brown.......
  4. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Trump alipomtembelea Papa Fransis Vatican

    Nasadiki kwa kanisa moja,takatifu,katoliki la mitume.
  5. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Crazyyyy....[emoji12] u made my morning..NiHao.....
  6. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Nitajie kazi alizofanya makonda zikawa success?alianza miti,hamna mti umeota,mara omba omba ndo wamekua vichomi wanaiba na kipiga usipowapa pesa,mara usafi jumamosi,sana wafanyabiashara wanapoteza fedha kwa kuchelewa kuanza kazi siku ya mapumziko,mara ngada,sana kataja viperege ambavyo vinaishia...
  7. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Lame excuse....
  8. Mtumsafi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Some lemonade for you madame!

    Doooh
  9. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Elimu.elimu.elimu...nini maana ya ushindani ktk soko?

    rejea kiambatisho.waungwana naomba tuzungumze juu ya suala hili.tunaboresha kweli?
  10. Mtumsafi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Some lemonade for you madame!

    Thanks dear.story nzuri..ila km nimekujua tru identity vileee.shilawadu kazini
  11. Mtumsafi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Some lemonade for you madame!

    Let bygones be bygones
  12. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtangazaji Anna Mwasyoke wa TBC1 anapenda kukenua kenua hadi anaboa?

    gentamycine.em tuambie kitaalamu anatakiwa kucheka wapi,mara ngapi,ktk hali zipi,?
  13. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

    Useless degree from Tanzania.....inanshangaza
  14. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Asanteni,tozi,nyangi ngabu n kui..naona Io bottega venetta imenikuna.sa mniambie ni shs ngapi nimchukulie shemeji yenu....afu mi ni mapenzi wa red door ya Elizabeth Arden....Ila ndugu ubahili kanikumba as iv mnnisidije?
Back
Top Bottom