Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #401
Waoo doreen kaolewa, ila Hii ingekuwa movi ingenunuliwa sana
Hahaha sante ngoja niwauzie wazungu wa UK
Waoo doreen kaolewa, ila Hii ingekuwa movi ingenunuliwa sana
Lakucha maeAika mae,
Maongeze yanaendelea kati ya warembo. Wanaume wameenda bar kuongea na wao. Akina Doreen mambo mazuri wanajikumbushia mastori yoote tangu walipoachana mpaka leo
Chanel akatema mastori yake wakampongeza kwa kuwa engaged. Akawaambia alikutana na dushelele moja hatarious, haamini mpaka leo kama Pedeshee anataka kumuoa. Wenzake wako enhe! Lete umbea. Akawaeleza fumanizi na jinsi Pedeshee alivyovimba akaja kuibuka kwenye ubatizo wa Doreen kanisani na ku-propose. Carrie akajibu tobaa majanga enhe! Hahahaha wenzake wakacheka huyo ndo Chanel mwengine kibao kata haloooo, Chanel akaendelea kumwaga mchele. Akawapa habari ya kwenye ndege kila mtu akanyanyua mikono juu! Mwingine anasema Yesu wangu, mwengine mtumee, mwengine kiruuu, mara tobaaa! Wanamwangalia aendelee. Chanel akawaambia jinsi gani ameuza mechi kwenye ndege na anajiskia kumsaliti Pedeshee muda mwingi akifikiria inamtafuna. Carrie akamwuliza vipi mechi ilikuwaje?! Chanel akamwambia nilitoa tu kwasababu ya maupwiru! Lakini vinginevyo walaa sikuhizi nampenda sana Pedeshee ni kila kitu kwangu. Chanel akawaambia marafkizake sijui nimwambie Pedeshee?! Wenzake wakamwambia hapana mama unataka ndoa au unataka kurudi kuishi na Adrienne?! We kaa kimya kwanza Pedeshee ukijajua anapiga nje utafanyaje?! Si utaona bila bila tena ungemshika haswaaa yule mlinzi ukomae nae. Acha wewe akajibu Carrie haya mambo ongea na sisi au Mungu wako nenda kanisani katubu guilt zinaishaga acha upuuuzi kama ndo ivo ndoa za wazazi wetu zisingefika miaka 50 au 60. Ndo ushakuwa mkubwa acha ubwege nyau wa tabora wee. Me simo akajibu Adrienne ukitimuliwa mama kwangu usine nimechoka aibu na dharau sasa. Doreen akamwambia acha tu wanaume wana mambo mengi ulifunguliwa daftari lao utatamani ulale na kila mtu huku chini ya jua. Wenzake wakamwangalia haya yamekupata yapi?! Akauliza Carrie
Doreen nae akatoa yake yote. Tangu James kaondoka mpaka Lucifer akaja. Akamwambia Adrienne unamkumbuka Ngiri wa sekondari, Adrienne akasema ndiooo, Doreen akamwambia ndo Lucifer. Tobaaaaa Lucifer ndo ngiri?! Akauliza Adrienne. Doreen akamwamboa sssshhhhh! Wataskia bwana. Carrie akajibu kwanza hawapo wameenda bar kuongea zao na kupanga. Tujiachie tu watoto wako kwa bibi George nyumba ipo na sie tu. Akawaeleza kila kitu. Adrienne haamini Ngiri ndio Lucifer mbona mzuri sana jamani haelewi kawaje mzuri vile. Akina Carrie na Chanel hawaelewi wakauliza wakaelezwa wakacheeka Carrie kidogo aanguke chini. Eh jamani Lucifer alikuwa mbaya na minjino kama ng'iri wooote wakacheka. Doreen akaendeleza umbea, akawahadithia James alivyotaka kumtoroshwa alafu akakamatwa na Lucifer. Jinsi gani alitesema hakutaka kula akijua James atakufa muda wowote, akawa kila usiku anaamka kwenda kumtembelea kwenye shimo alilofungwa. Baadae akaja kuongea na Lucifer akamsamehe ndio akaletwa kikazi Bondeni. Carrie akasema sasa naelewa nilionana James mjini katika maongezi akaniambia rafkiako Doreen amenifanyia kitu cha ajabu ameokoa maisha yangu lazima nitakuja kumlipia asee. So Doreen naona ume invest very well tusubirie malipo. Doreen akasema nilimpenda sana James ila sasa ukiniambia nichague kati ya Lucifer na James, nampenda zaidi Don Lucifer. Ananipenda sana tangu alipomuachia James amenionyesha pendo lake mpaka mwili unatetemeka sio kwangu tu hata kwa watoto sasa hivi hata nikikohoa tu naulizwa unataka nini?! Shida ipo wapi!? Utadhani nipo kwenye ndoa. Carrie akamwuliza ndoa yako na Lucifer lini?! Doreen akasema hata sijui, anatakiwa asafiri aendw huko miaka 2 akija labda ndo ndoa. Carrie akauliza anaenda wapi?! Doreen akajibu anasafiri nchi mbali mbali hata sielewi. Carrie akaguna mmh! Inakuwaje almost mume wako wewe hautaki kujua anaenda wapi?!akamwuliza anafanya kazi wapi!? Doreen akajibu kuna ofisi moja ipo posta mambo ya insurance! Carrie akajibu tobaaa! Ivi wewe na huyu english Adrienne mwenzio ni vilaza au?! Insurance Doreen unakaa ndani unalipwa mil 8 kwa mwezi Insurance gani iyo?! Nyie acheni ufala haya na wewe bibi mapacha mwenzangu mumeo afanya wapi?!
Adrienne: anafanya na Lucifer hayo hayo insurance. Carrie akacheeka, haya na wewe Chanel mumeo mtarajiwa afanya wapi?! Eh! Mie ndo mweuoe kabisaa, maana niliambiwa anazungukia nchi nyingi anaweza akapotea miezi 2 au 3 akaibuka. Sinawahi kanyaga ofisi yake ila kuna siku tulipanga akanionyeshe biashara zake nikaonyeshwa ila ofisi ilikuwa nzuri kuliko maelezo sasa sijajua si unajua jaman me ndo mshamba Diploma ndo inaisha hii mie sijui chochote.
Mmachame Carrie akasema Mungu mwema hata Mungu anawashangaa kama majanaume yenu majambazi mtafanyaje?! Nyie washenzi nini?!mbona aibu hii sasa?! Hao waume zenu me washaanza kunipa wasiwasi kama sio majambazi basi ni mapolisi wale wa akina CIA sijui undercover sijui FBI wale secret services! Mtajaniambia maana mnavyonijibu hata hamueleweki ngoja kwanzia leo kila mtu akamate chombo chake aanze kuulizia anafanya kazi gani muone kama hamtagombana au mume hatonuna au mume hatowajibu kiuhalisia. Cha kufanya mkatafute waume wenu wanafanya kazi gani jaman wakija kufa kama mende mtafanyaje?! Me uzeeni sisaidii mtu itakula kwenu nyie subirini
Wakamwulize haya mama kungwi Carrie twambie wewe mumeo ana fanya nini?! Akawajibu na mali zake zote nazifahamu, kila asset alonayo naifahamu, nyie zubaini mnauza mechi sijui mnapagawisha wakifa sijui mtapagawisha nani?! Ndo ivyo mfanye homework la sivyo mtajalia au kuchizika. Mkimaliza homework mtanambia nije niwape darasa.
Wakaendelea kudiscuss kuhusu sherehe ya watoto itakavyokuwa. Akawaelezea maisha yake pale bondeni na nini! Na maisha na wakwe zake na jinsi amemiss Bongo hasa Dar na Moshi ila wazazi wake wako hapo mwezi wa 3 sasa haoni kama anamiss sana moshi kama Dar.
Wakamwuliza enhe na wewe mumeo akisafiri unaliwa na nani?! Akacheka akasema hamwezi amini sijawahi toka nje ya ndoa tangu alipoumwa mume wangu. Yani nipo buzy na watoto familia na biashara za mume kufuatilia. Wenzake wanamshangaa. Fundi kawa sister ghafla kweli ndoa ndoani inabadilisha watu sio mchezo
Wanaume nao wana bond kivyao kwa bia na karanga na korosho. Mastori mastori kiongozi wao George. Walikuwa wamekaa George. Shawn na Lucifee. James aligoma kwenda maana anaogopa kipondo cha Lucifer. George akamwuliza Lucifer harusi lini?! Akamwambia bado labda mwakani naona sasa hivi haitawezekana mpaka nimalize kazi za mkuu. George akawa anashangaa mkuu ndio nini ila Shawn alielewa. George akamwambia jitahidi bwana kumweka msichana pete kidoleni muda mrefu bila ndoa nayo nuksi sana, Lucifer akajibu naelewa kaka haina neno mwakani tunarekebisha mambo si mtakuja Tz?! Akajibu ndio lazima tuje nyie ndo familia yetu tumeshakuwa zaidi ya ndugu. George akampongeza Shawn pale na watoto mapacha maana hawajaonana muda akampongeza na Lucifer kwa ajili ya Baby Sandra wakaanza kuongea hapo mambo ya Nchini pale siasa na biashara usiku ukazidi kwenda sana. Wakaamua kurudi nyumbani kwa George kwenda kulala
Safaree nae bwana anatunga sheria. Amaamua kurafuta mademu 2 waliokua nao huko kijijini, mwengine alikuwa rafkiake wa shuleni akaja kupata mimba hakumaliza shule alipojifungua mtoto mimba ikatoka.. akawa anakaa kijiweni na akina Safaree mara wamle tigo mara wampe bangi basi taabu tupu. Huyo mrembo alikuwa anaitwa Zubeda, baadae akaja akaolewa na bonge la bwana lilikuja kijijini kumsalimia mama yake akalidaka. Kamkatikia mauno weee mpaka mwanaume akachizika. Ila zubeda alikuwa fundi hatari kwanza kwenye yale mambo yetu ya ndumba na uchawi ndio kilimfanya akampata huyo bonge la bwans. Uchawi wake anapaka kwenye papuchi kama wewe mwanaume hauchomoki. Akamkamata bonge la bwana akaona haitoshi akakamata mali zake akamweka ndondocha asijue kuwa yule bwana alikuwa ameoa mkewe alienda kusoma uraya uraya! Asijue kuwa yule bonge la bwana alishaandika urithi wa mali zake zooote kwa mkewe na watoto ambao walikuwa wanakaa na bibi yao Daslam! Kamloga bonge la bwana wa watu mpaka akafa. Akajidai yeye ndo malkia wa nyumba. Mke akarudi akamkuta wacha wagombane fukuza na wewe mapolisi hao. Wakaelezwa ugomvi vitu vikaenda mahakamani, ushindi akapewa mke halali wa ndoa na watoto Zubeda akashindwa akaambiwa aondoke keenye nyumba. Daslam hamjui mtu akaamua kuja kijijini amekaa kijijini miaka 3 ndo anamwona Safaree amependeza amekuja kumtembelea kwahiyi Zubeda sio mshamba mshamba ni bonge la mauti inayotembea! Anaweza kukua kwa silaha, uchawi au kukuwekea sumu.
Mrembo mwengine ni Happy, yeye alikuwa mpenzi wa Safaree, akiwa na mishe mishe zake Safaree akatiki akipata hela anamfuata Happy. Happy ndo alimtoa bikira akiwa mdogo kwahiyo Safaree anaweza zungukaa kooote ila kwa Happy alishaweka 100% anamwamini vibaya mno. Happy akaambiwa uje mjini kuna kazi nataka kukupa. Nataka kukuweka kwa mdogo wangu anatafuta kazi ila sasa jinsi ya kumtoa yule housegirl maid inameitaji mtu kama zubeda na zubeda kale kanaua vibaya na mimi staki zubeda aue nataka mtu atakayemtesa Adrienne tu basi.
Kusema kweli kwenye mauno happy alikuwa hatarious kuliko Zubeda. Kwanza mzuri ana mshepu kama Doreen, alafu mzuuuri ngozi nyeupee, alafu kwenye mambo yetu haitaji kizizi yete ni team natural tangu kuzaliwa Safaree alimfundisha akafundishikika.
Safaree akawapanga vizuri tu kuwa baada ya miezi 6 mishen inaanza hatarious. Lazima wajinoe huko kijijini wakija mjini ni kazi tu! Warembo nao wakajidhatiti sio kidogo maana pesa hawana na wanaitaka. Safaree akaendelea kutunga sheria jinsi atakavyomharibu Lucifer na Adrienne sio kwa kupigwa kule na kudhalilishwa kule. Kweli kisasi ni kisasi tu hata ufanye nini usipi samehe hautajali kuwa hii ni damu yako au la! Lakini pia na Bangi zinachangia.
Usiku huo Mark akamtafuta Chanel kwa Carrie, akajiiba weee akaongea na Carrie amwite Chanel bila mtu kujua, Chanel akachomoza, eh! We Mark unafanya nini huku me kesho nina shughuli ya watoto embu niondolee gundu afu mume wangu yupo. Mark akamvuta kwenye maua ya Carrie huko humo akaanza kumla, Chanel akakumbuka maneno ya Carrie kuwa we ukipata itumie vizuri sana maana usitake kujua mwanaume anafanya nini huko aliko. Itumie fursa mpaka mwisho ili usije kujuta ukijaujua ukweli. Maskini maua ya Carrie yote yalienda ahera! Maana mechi ilopigwa pale ni mbwa tu wa Carrie walikuwa wanajua wala sio majirani, kutoka pale maua yote kush-nehi! Mark anaondoka kama hamjui Chanel, Chanel akakimbilia tu bafuni kuoga maana muda wa kula ulikuwa umeshafika na wote walikuwa wanakula pamoja mezani.
Pedeshee akatua Bondeni kwa Mandela, Carrie na Chanel wakaja kumpokea, Chanel akamrukia juu juu maskini anambusu busu mumewe Carrie anaona aibu, moyoni anasema dah kweli siri ya maiti aijuae mwosha! Huyu baba angejua Chanel anafanya nini sidhani kama angeoa kesho. Akanyamaza kimyaa. Wakafika nyumbani kwa Carrie wakakaribishwa na George wakasalimiana pale wakaonyeshwa chumba chao cha kupumzikia, Pedeshee kam-miss mkewake lakini Chanel alionekana amechoka chooooka, hakuelewa kwanini akamwacha kwanza akijua usiku mambo yatanyooshwa. Akatoka kwenda kuongea na Carrie kuhusu kesho na jinsi watakavyompanga Chanel asijue kitu. Wakakubaliana. Usiku wakala chakula wote wakaingia kulala, kila mtu na demu wake, hehehe, Chanel ikabidi atoe mechi kwa furaha tu maana anailinda ndoa, Pedeshee akaona hapa hata nikioa sitakuwa dissapointment, maana yale mauno ni hatarious! Chanel akatoa mechi to the fullest! Pedeshee amepagawa sijui ndo kuchoshwa na safari nguvu zikamwisha mapemaa hakutaka tena kuendelea. Ikawa usiku ikawa asubuhi siku ya ubatizo na ndoa
ITAENDELEA KESHO SAA 8 MCHANA
asante Mr Malalamikonimeimaliza, ni tamu sana
asante kipenziHongera kipenzi kazi nzuri saaana
Maana ilikuwa hamna namna... Hahaasante Mr Malalamiko
AsanteeNice story
Aiseee..nilikuwa naona hii title na kuipita bila kujua ni story tamu hivi....asante Money Penny kwa kunitag tho sikupata notification ....ila nashukuru nimechelewa kuigundua hadi imefika mwisho so sitateseka sana kuisubiri manake hivi vitu vinanipa alosto mbayaaaa
Poyeeee!Mmh ngono imerahisishwa mno ktk hii story ,mpk haileti raha kah
niliifuma hii story juz yan nimesoma mpka usiku jana mume ananiuliza kwan n nn unahangaika hivyo hulalai kumbe story ...finaly leo nimemaliza story tamu balaaaa .....
Doooh
Ebu tuma tena jina lako la fb au insta tuwe intouch, hii story ni kiboko. Very very creative, nimekupenda bure, hongera sanaAsante sana my love karibu tena
Vepee
Asante sana njoo inbox nikupeeEbu tuma tena jina lako la fb au insta tuwe intouch, hii story ni kiboko. Very very creative, nimekupenda bure, hongera sana