Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Asanteni,tozi,nyangi ngabu n kui..naona Io bottega venetta imenikuna.sa mniambie ni shs ngapi nimchukulie shemeji yenu....afu mi ni mapenzi wa red door ya Elizabeth Arden....Ila ndugu ubahili kanikumba as iv mnnisidije?
 
asee!, ookay nimekupata. Lakini, nimeona wakaka wanajipenda but nyie wa humu si mchezo.

Halafu after facial scrub unatumia lotion au moisturizer?
Natumia Nivea creme au Eucerin creme pia baadhi ya siku hutumia coconut oil. Unaweza ukashanga why coconut oil lakini kwanza hulainisha na kungarisha uso pia inafanya uonekane na sura ya kiteenager. Matumizi ya coconut oil unaweka kidole kimoja kwenye oil halafu una rub kwenye mikono yako ndio unapaka kwenye uso.
 
Haha watu na Teenager face zetu hiyo unasemea ni Parachute Coconut oil eeh mana wanawake wanaipenda Balaaa
 
Natumia Nivea creme au Eucerin creme pia baadhi ya siku hutumia coconut oil. Unaweza ukashanga why coconut oil lakini kwanza hulainisha na kungarisha uso pia inafanya uonekane na sura ya kiteenager. Matumizi ya coconut oil unaweka kidole kimoja kwenye oil halafu una rub kwenye mikono yako ndio unapaka kwenye uso.

OK!, thanks for info.
Yap, Coconut oil nzuri sana kwa both ngozi hata nywele kama ilivyo olive oil, sijawahi jaribu coconut oil kwenye ngozi lakini.
Hiyo ya kuweka oil baada ya ku scrub ntajaribu, I can imagine ngozi inavyokuwa nzuri.

Huwa natumia moisturizer baada ya scrub lakini I think oil is even better.
Tena wakati unapaka, wanashauri ufanye wakati ngozi iko (damp) na unyevu kidogo, to lock in the moisture.
 
polo-black-eau-de-toilette-1460191972.png

artisan-by-john-varvatos-1460193051.png

-unforgivable-by-sean-john-1460194542.png
 
Hizi ni za kike au za kiume or for both
Kama hautajali weka na bei zake na how nice it is

Hizi ni za kiume japo hata mwanamke anaweza kutumia kibishi.

Polo Black inauzwa $105.

John Varvatos Artisan inauzwa 90$

Unforgivable by sean john inauzwa 70$

They are nice according to my tastes which may vary with yours.
 
hahahahahahaha eti kibishi.
Naomba unielekeze zinakopatikana, halafu mbona bei zake ziko in dollar, zinapatikana hapa nchini au ndo mambo ya ebay
 
hahahahahahaha eti kibishi.
Naomba unielekeze zinakopatikana, halafu mbona bei zake ziko in dollar, zinapatikana hapa nchini au ndo mambo ya ebay

Kwa Dar jaribu JD Pharmacy. Hizo zipo in dollars kwasababu ndo bei ya zinapotoka.

Ila ukikosa basi ingia mtandaoni nunua au kama una ndugu mbele mwambie akuletee ili usilipishwe kodi. Lasivyo hapo utalipa na kodi kabisa.
 
Back
Top Bottom