Recent content by mtume pauli

  1. M

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    natumainia japo huu uthibitisho kutoka kwa ulimboka utaamsha ari mpya kwa madaltari kugoma nchi nzima hadi ighondu anyongwe.
  2. M

    PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

    nyie sio wananchi wa tanzania. mnaonyesha sio wazalendo na ni wachumia tumbo msioujua umaskini wa watanzania. hatuwatambui sisi;
  3. M

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    jamani ccm.... nahofia sana kama mtafika 2015
  4. M

    CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

    chenge, balali, ,,, tuliskia wana elimu kubwa tena za ulaya wakaishia kutuibia mabilioni. uzalendo, uwajibikaji, busara na hekima havihitaji kuwa na vyeti vinvojaza sanduku. elewa toka leo ewe usiyejua.
  5. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    <BR><BR>hii picha inajisoma yenyewe kuwa kuna watu wameletwa hapa kinyume na dhamira ya mioyo yao. hawa ni wale wanaoonekena dhahiri wanamsononeko wa mawazo, hawajanyoosha mikono kama wenzao na hata mawazo yao hayako na ccm.&nbsp;umaskini ndo uliowaleta hapo na wala sio mapenzi kwa chama.
  6. M

    Umaskini wa watu mtwara nusura umtoe Lema machozi

    sio kama maskini tu ni kama msukule. kwa kweli wanatia huruma watu wa kusini. ikataeni ccm na ufisadi wake wote mpate kujikomboa enyi watu wa kusini. mnataka kuishi kwa taabu hadi lini?
  7. M

    CHADEMA kama Barcelona bana....

    kwenda zako kule jehanamu ewe ibilisi mkuu. ewe mola majitu kama haya yanayonyonya watanzania hata wale maskini ni kuwapiga kwa upofu na ukiziwi kwa wakatimmoja.
  8. M

    Taarifa ya CUF kuhusu hali ya Zanzibar

    zanzibar ikijitenga haitatawalika. nawaonea huruma watanganyika waliowekeza zanzibar.
  9. M

    Weka neno katika hii picha

    wakati wazalendo wakihangaika kuwakomboa watanzania (m4c) magamba yameishiwa sera yamebaki kucheza gombolela.
  10. M

    CCM Haitayumbishwa na Ngonjera za WAPINZANI

    majitu kama haya ni kuyaacha yabweteke hivohivo. maana hayatakuwa na mda wa kujikosoa na kujikomboa. wkt m4c inasonga mbele wao ni kujipa moyo tu. mara wachaga mara wakristo mara kaskazini. yanajipa moyo tu maana yanajua hata hao wachaga peke yao wakiamua kuwangoa uwezo wanao. mungu akupige na...
  11. M

    Nape si mwanachama wa CCM

    hivi inawezekana kweli ni mchumia tumbo nini? mbona TUMBO klinazidi kufumuka kila uchao?
  12. M

    Picha za ziara ya Nape kuimarisha chama Bukoka

    duh hivi kweli inawezekana jamani? tutoane ushamba. na je huwa angani simu zinapatikana kweli? nipeni jibu.
  13. M

    Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    mungu uliye mbinguni endelea kuibariki tanzania na chadema yetu.
  14. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    mkuu raisi wetu akifikia kufkiria kwa uwezo huo basi maisha bora kwa kila mtanzania yatawezekana.
  15. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    wameshalewa gongo ya hongo sasa wanacheza mnanda.
Back
Top Bottom