Picha za ziara ya Nape kuimarisha chama Bukoka

Picha za ziara ya Nape kuimarisha chama Bukoka

Baba Lulu yeye na mapaja ya kinadada tu!!....

542543_10150862764738581_720678580_10005645_712989787_n.jpg
 
Ndege ililipiwa na nani? Malinzi? Just thinking aloud!
 
Hiii ndio style ya Nape na ccm yake kuimarisha chama.!!!!!!!!! no commment.
 
22.jpg


Yan we ulishaona ndege inaenda mbele wao wanaangalia nyuma! ndo CCM ilikufia hivyo, wanachama wake wote hawaoni mbele wanakoenda, wao wanashushwa tu paaa mmefika, hata kama kwenye tope, korongo au shimo!
 
22.jpg
Yan we ulishaona ndege inaenda mbele wao wanaangalia nyuma! ndo CCM ilikufia hivyo, wanachama wake wote hawaoni mbele wanakoenda, wao wanashushwa tu paaa mmefika, hata kama kwenye tope, korongo au shimo!
duh hivi kweli inawezekana jamani? tutoane ushamba. na je huwa angani simu zinapatikana kweli? nipeni jibu.
 
naona siasa imekuwa chungu wana mpango wa kuigeuza ccm kuwa klabu ya gofu.mwenyekitiatakuwa malinzi
 
Hongera nape nimependa mbinu zako Mwaka 2015 gombea Uraisi utapata tu.

Sisiemu wanakuonea wivu kwanini hamkukodi magari mlete watu kwenye mkutano

Ilo shada la maua nimelipenda lafanana na lililokuwa kwenye mazish ya kanumba

Kihaya- naipenda sana lugha hii kwasababu moja: huwezi kuichakachua na kuficha radha yake!
 
Kaenda kutalii, kakosa la kufanya/kuongea hapa mjini baada ya dhoruba ya M4C
Kuchekacheka na mabinti, kudanganya wazee (?vijana) na kucheza gofu per diem imeingia!
Zidumu fikra za baba Riz-One, CCM hoyeeeeee!
 
Alienda kujenga chama au kikosi chao cha mauwaji kinachojulikama kwa Movement For Killing baadhi a kazi aza karibu ni huko Arumeru na Igunga kama mna bisha niweke picha hapa.....
 
Back
Top Bottom