JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Nimenasa!
Ukiona umeshidwa kusema fanya kuhama kimya kimya kuepusha mengi,ila kama ulikuwa una malengo nae kwanini ukubali kulala nae chumbani kwako/kwake baada ya tukio la siku m0ja au mlamba asali alambi mara m0ja...,unatakiwa ufanye maamuzi ya kiume bado mapema acha ulibukeni usije ikawa umempa mimba...