Is love a decision or a feeling?

Is love a decision or a feeling?

Wow!!! Uzi mzuri sana habibty

Kuna msemo pia unasema mazoea hushinda mapenzi ni wa kweli kadri ukiwa na mpenzio siku zinavosoga na mapenzi yanazidi ila tu iwe mapenzi ya kweli toka moyoni iwe pia hakuna ubabaishaji au michepuko

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Shukraan mpenzi….lakini hayo mapenzi ya kweli kutoka moyoni yamekuwa aghalabu kama lulu vile jamani…watu wamekuwa so materialized kwa mantiki hio maamuzi yanatawala zaidi kuliko hisia….
 
naona love is decision, kwa sababu mtu anapovutiwa na gals anamfuata na kumueleza hisia zake mpaka pale amefanya decision. Lakn feeling zinakuja baadae baada ya kumjua. Kwa hiyo kwangu love is decision
 
Hmmm.....love is a decision highly influenced by feelings.
 
Habari za saa hizi wanajamvi,

Nina rafiki yangu moja mzuri alinena na kuniambia "mapenzi ni mazoea". Maneno hayo machache nimegundua yamebeba uzito mwingi na yana maana kubwa na pana.

Katika mapenzi yoyote mwanzoni yananoga na yanakuwa na shamrashamra nyingi, kwasababu kipya kinyemi, hamuishi kumisiana, kila mtu hamu haimuishi ya mwenzie alimradi kila kitu kinaenda kama maji mtoni.

Mnaweza hata mjiulize kwanini hatukuonana mapema. Hii ni phase ya mwanzo ya mapenzi ambayo inaitwa falling in love. Baada ya muda kama miaka kadhaa hayo mapenzi yote yanaweza yachuje mtu akikugusa unaona kero, akikupigia simu anakubughudhi na kukufatilia,yaani mnakuwa mmechokana.

Hii inakuwa phase inayofuatia ya mapenzi ambayo zile chachu zote za mapenzi zinashikiliwa na chuki na ubinafsi fulani na katika wakati huu unaweza ujiulize pia je nipo na mtu sahihi?

Yaani yale yaloyojiri mwanzo yote yanakuwa kinyume chake, kama ni ndoa unaanza kuiona chungu. Unaweza hata ufikirie pengine nikipata mwengine mambo yatakuwa kama awali ufurahie mapenzi.

Lakini nikudissappoint jibu ni hapana kwasababu hata ukipata mwengine baada ya muda fulani mapenzi yatachuja. Kwahio suluhisho ni nini? ukitaka mafanikio kwenye mahusiano yako mpende mtu ulompata/ulo kuwa nae kama ni mtu sahihi au lah kuna sababu zilizokufanya umchague yeye.

Jenga mazoea ya kumpenda yeye kama yeye, mapenzi yanahitaji wito, kujitolea, nguvu, wakati, muda na kikubwa zaidi busara. Unatakiwa kujua nini chakufanya na kwa wakati gani ili unawirishe mapenzi yako.

Usikosee katika hilo. Mapenzi ni zaidi ya hisia ni maamuzi na ni mazoea.

Au mnasemaje wenzangu?

View attachment 161621
View attachment 161622

Cc utafiti

Well said mkuu! Hakuna mtu aliye mkamilifu hata hivyo. Cha kufanya ni kuboresha ulichonacho
 
According to me as the one among great thinkers , you cant love acertain person without having feelings. Also you cant decide to seduce aperson to become your wife or husband without havng feeling with him or her. Therefore feelings first then decision become the next.
 
You may be a great thinker, but I suggest you think in Swahili.😀
 
It is both! Ni lazima uruhusu feelings zako kukua na kujifunza kuishi kimapenzi na mwenzio. Ni lazima uamue kumpenda mtu baada ya kuona kwama anaweza kuwa mwenzi mzuri. Kwa wale wenye desturi za kuwachagulia watu wachumba, wengi wameweza kuishi vizuri kwa mapenzi. Walikubali na walijiaminisha kuishi hivyo.
 
Well said mkuu
 
gorgeousmimi,sijapata nafasi ya kusoma comment za watu,lakini ngoja niseme machache!!

Nakuunga mkono,mapenzi ni uvumilivu,kujitoa,mapenzi ni sadaka,mapenzi ni utashi,mapenzi ni furaha,Mapenzi ni umilele,hayaishi wala hayachuji!

Mapenzi sio accident,sio kitu cha kukutana na mtu mara moja eti umempenda!Hapana,ni kwamba umevutiwa naye,then baadaye ndio mnaweza kupendana,Mapenzi ni process,yanakua kila siku,na hayaishi,yale yanayoisha ni kuwa hayakuwa mapenzi bali matamanio!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hilo nalo neno
 
Last edited by a moderator:
If that was the case, tusingeona wadada wakitupa watoto vyooni, wakitupa majalalani, pia tusingeona ongezeko la watoa mimba..hata hao wa tumboni ni watoto na wanahitaji hiyo unconditional love.. Sijui utajustify vipi kuwa siku hizi kweli mnawapenda watoto wenu kweli kweli!!

I won't argue with you on such grounds, what a person does is absolutely their own independent decision ila ninachojua na kukiamini, a mother's love to her child is unconditional. Nampenda sana mwanangu and i would walk to the moon and back just for him!
 
..i wish all mothers could show unconditional love to their babies, regardless of the hardships they're going through..but that isn't the case! Barikiwa kwa upendo wako kwa mtoto na uzidishe!!
 
OLESAIDIMU we wasemaje kuhusu hili?

Dada yangu kipenzi haya mambo yapo pande zote kuna kipindi unaamua kupenda na kuna kipindi waweza kuta umeingia tu yaani fahamu zinakuja kurudi tayari mtu yuko ndani!!!!!

Maamuzi; hapa ni ile hali ya kuwa na uhitaji wa mtu na unajua unataka vigezo gani kwa mfano mtu anahitaji mwenza wa maisha hapa ni lazima uamue nini unataka then unaanza kutafuta huyo mwenye hizo sifa hapa naona kama uamuzi umetangulia then hisia zitkuja tu sababu akili imejiandaa kwa maamuzi husika

Hisia; hapa sasa ni zile unplanned meetings waweza enda hata harusini tu ukakutana na mtu na mkionana tu yaani "auto click" na gaze tu zinamaliza kila kitu yaaani, ila sasa unazuia muendelezo sababu au umeolewa au umeoa au yeye yuko hivyo lakini hadi moyoni unakiri kuwa naaaam pale kama sio hivi au vile basi ingekuwa x, y, z!!!!!!!!!

Hivi kwa tuliooa au walioolewa au wenye mahusiano ya kudumu ni kweli mioyo huwa hailipuki once in a blue moon kwa strangers!!!!!?????????
 
Back
Top Bottom