Mtoto wa mwezi mmoja (Denis) Auwawa kwenye ugomvi wa wazazi wake

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,948
13,045
Sumbawanga:

Mtoto Denis (mwezi 1) amekufa baada ya kupigwa na baba yake mzazi katika ugomvi na mama yake.

Mama Denis alikuwa anamlaumu mume wake kwa kuendekeza michepuko wakati amejifungua na kumtomjali.

Ugomvi ulipoanza,ukamkuta hadi Denis.
 
Ridiculous parents.....Kuna watu wanakimbilia kwenye ndoa na kuzaa bila hata kuwaza uzito wake
 
masikini inahuzunisha sana aisee kuhusisha watoto wasio na hatia kwenye ugomvi wa wazazi,damu ya huyo motto itamlilia popote aendapo huyo mbaba na pole yake mama aliyembeba miezi tisa na kujifungua kwa uchungu mwanae mpendwa.
 
Kweli michepuko noma. Inasababisha mpaka mauaji ya bila kukusudia
 
Watu kama hawa utaskia cjui uchunguz cjui nin! Wahukumiwe ili iwe fundisho kama yule aliebaka mskitini
 
Kama Nasra,kama Denic pia kichanga kingine kimetolewa chooni huko mbeya .

Waliowaleta duniani ndio waliowaondoa.
 
Sumbawanga:

Mtoto Denis (mwezi 1) amekufa baada ya kupigwa na baba yake mzazi katika ugomvi na mama yake.

Mama Denis alikuwa anamlaumu mume wake kwa kuendekeza michepuko wakati amejifungua na kumtomjali.

Ugomvi ulipoanza,ukamkuta hadi Denis.
Poleni sana ,wahusika wa msiba huu,ni msiba wa Tanzania wote,kama msiba wa Mtoto Nasra.Pole mama mzazi wa Denis,uwe na moyo wa subira.
 
Huyo Mume anikome tena anikome na ndoa inaishia hapo....mtoto anamakosa gani jamani?
 
Back
Top Bottom