Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Kuna aliekuwah tayar...nsham-pm no zake...labda km utataka ujaribu ukute anakusubir ww
Ndio tabia gani hiyo sasa....
Kuna aliekuwah tayar...nsham-pm no zake...labda km utataka ujaribu ukute anakusubir ww
Mi nikajua ngoma..
Nikilegea utanikaza? Ulegee wewe na viungo vyako from today...naam vikakose nguvu kabisa...hata pale utakapotaka kugegeda vikakuaibishe..maana hata wewe wajua kuwa michepuko sio dili...ni ktk jina la njia kuu naomba na kushukuru...Amen
Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahau kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..
Mkuu ashayavulia nguo maji sharti ayaogee sasa,nakuunga mkono Ennie waoane tu.[/B]
Ndio atulizane sasa mwanaume ili wakati ukifika wafunge ndoa