Recent content by mtu bati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani nzuri anaweza kusoma mtu aliyesoma combination ya EGM?

    Sawa mkuu nimekuelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani nzuri anaweza kusoma mtu aliyesoma combination ya EGM?

    Mkuu hii economics and finance inapatikana vyuo gan hapa Tanzania?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani nzuri anaweza kusoma mtu aliyesoma combination ya EGM?

    Hiiii inahusu haswa Nini mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani nzuri anaweza kusoma mtu aliyesoma combination ya EGM?

    Nina mdogo wangu kamaliza form 6 amesoma EGM, anataka ajiunge na chuo kikuu lakin kozi Bado inamtatiza. Waliosoma hiii kozi naomben ushauri kidogo kwamba anaweza akasoma kozi gan ambayo inaweza ikawa at least nzuri kwake? Naombeni ushauri, alipata Division 2 ya point 10
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Bus Simulator Indonesia tukutane hapa

    Iko play store?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Dawa gan ya miti shamba inaweza kutibu bells palsy's?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nani huyu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

    Lipo acha ushamba
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Niko Arusha, namtafutia kazi mdogo wangu ya kiwandani Au hata kuuza duka. Mimi ndo first born ila yeye kamaliza form 4. Kama kaka mkubwa nafanya kinachohitajika. Kakaa nyumba na malalamiko tu. najitahid nimtafutie Cha kifanya. Nawasilisha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimempa mpenzi wangu laki moja ya kununua simu, kakasirika na kususa

    Mkuu mambo huwa yanabadilika. Matatizo yanakuja ghafla. Nikipata dharura ningefanya je?
Back
Top Bottom