Nimempa mpenzi wangu laki moja ya kununua simu, kakasirika na kususa

Kasema alipata imejensi ile laki nyingine aliyoahidi ikapotelea huko kabakiwa na hii moja iliyokataliwa

JF haichoshi wallahi!

yaani kwa Comments hizi lazima amnyime

inauma ulikua unatarajia hela halafu hupati, huwa kuna kauli mimi naipenda usitarajie au kupigia hesabu hela ya kupewa
 
Naongea kutokana na uzoefu,
Mwanamke wa hivyo Kuna udhaifu keshauona kwa mtoa mada, anatumia udhaifu huo kum-munipulate atakavyo.

Hakuna mwanamke wa kawaida anakataa Ela bhana, tusidanganyane
Deep , deepond wewe yule mchepuko wako ushaachana nae kabla hatujafika mbali
 
Yupo mtu ambae yeye anampenda toka moyoni na anamheshimu kwa dhati kabisa hata asipompa pesa bado atamvumilia

Hajawajua vizuri wanawake....

Vijana papuchi imechukua akili zao siku hizi,,, hakuna kingine wanawaza..

Mleta usihofie kutumia jasho lako,,, yaaani utafute pesa kwa taabu na bado kuitumia pia uitumie kwa taabu
 
Nasoma comments mbavu sina daah
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
mtoa mada hebu tafuta hela umpe dada wa watu kwanini ulimuhaidi na huna uwezo

Bidada soma vizuri uzi...

Alikuwa nayo ila alipata emergency akaitumia,, na ofcoz already simu ilikuwa imeshanunuliwa...

Je unaona ni sahihi kukataa hela?
 
ushamba bana,mwambie akupe ukaongezee laki 1 ili ikamilike alafu unapotea kimoja.
vijana sijui mnakosea wapi
 
Mkuu Kama wewe kweli wewe ni mwanaume halisi huyo inatakiwa uachane naye, kiukweli iyo simu akanunuliwa na dume jingine. Kama vipi ongea na mazake muulizie kuwa alichukua Bei gani. Yaani usiwe mdhaifu kwa k hata a single second la sivyo utaumia maisha yako yote.
Utanielewa ukishakuwa mwanaume.mana mwanaume sio jinsia Ila ndani yako una Tabia za kiume.
Zira mazima akirudi utamwambia kuwa ulimuona Kama hakuthamini kabisa
 
Wewe huna akili kabisa
Hiyo pesa ingekuwa ndogo si angeipata .
Uswahilini hata akigawa tigo hawezi kupewa laki mbili cash.
Huyo binti iwinde hiyo laki umnyamg'anye biashara iishe.
 
Watamponda tu lakini kuna watu tuna hizo tabia za kususa kama ahadi imeenda tofauti. Haijalishi unacho au huna lakin unasusa tu. Ni tabia ya mtu kama alivyo mchoyo au muongo.

Ahadi ni deni. Timiza ahadi
 
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
Ulimpata akiwa bikra?
 
Mimi bato kama hizi namaliza kipindi cha kwanza tu na nnavyopenda league mapema tu namaliza pambano.
 
Brother shukuru Mungu amekataa hiyo hela, chukua fanyia mambo mengine ya msingi, wewe sio mzazi wake.

Kama laki ni ndogo, yeye kwanini hana?
Piga chini.
Hiyo hela amtumie mama yake anunue mbuzi
 
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
hiyo hela mpe mama yako uone atakavyokubusu na kubariki kazi zako
 
Back
Top Bottom