Kaka mbuna hii sauli livery ukiinsert haioneshiSauli hiyo hapo. Kazi kwakoView attachment 1477098
Kaka mbuna hii sauli livery ukiinsert haioneshiSauli hiyo hapo. Kazi kwakoView attachment 1477098
Grp gani kakahBUS SIM. INDONESIA LEAGUE - tz
Whatsapp Group kwa ajili ya kupiga piga ligi ili tufurahi pamoja.
Share na watu wengine..
Kwa sasa halina members, in 2 days if still no members linafutwa
Nimeicheza sana hadi nimeichoka
Linaitwaje?Nimepunguza sim inapiga screenshots zina hadi MB 6 zinanijazia nafasi.
Hilo game hatari sana, ni time killer
Iko play store?Hii Game ni ngumu balaa, ilibidi nitafute cheats ili niweze kucheza hili Game, bila cheats utakesha ukiwa mission moja.
Mkuu una mod za map na horn kali?Baada ya mtifuano na wa Bangladesh ,wamekaa
Shusha milima ya Solo-sura spidi 200+
View attachment 1479957View attachment 1479958
View attachment 1479959
Nataka vinanda hivyohii ngoja nicheki ila vinanda vyake vipo
---
Hii sina ila kama una picha ya Ubavuni, Mbele na Nyuma post hapa tulitolee skin
Karibu group la ligi
Link post #1