Kozi gani nzuri anaweza kusoma mtu aliyesoma combination ya EGM?

mtu bati

Senior Member
Mar 29, 2021
117
128
Nina mdogo wangu kamaliza form 6 amesoma EGM, anataka ajiunge na chuo kikuu lakin kozi Bado inamtatiza. Waliosoma hiii kozi naomben ushauri kidogo kwamba anaweza akasoma kozi gan ambayo inaweza ikawa at least nzuri kwake?

Naombeni ushauri, alipata Division 2 ya point 10
 
Nina mdogo wangu kamaliza form 6 amesoma EGM, anataka ajiunge na chuo kikuu lakin kozi Bado inamtatiza. Waliosoma hiii kozi naomben ushauri kidogo kwamba anaweza akasoma kozi gan ambayo inaweza ikawa at least nzuri kwake? Naombeni ushauri, alipata Division 2 ya point 10
Land Management and valuation (LMV)
 
Hii ina tofauti gani na inayoitwa GEOMATICS??
Kifupi tu, geomatics inahusu upimaji wa ardhi. Iwe levelling kwenye construction site au kulocate position ya vitu mbalimbali kwenye uso wa ardhi, kupima viwanja n.k.

Wakati quantity surveying yenyewe inahusu ukadiriaji wa gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali
 
1. Economics & Finance
2. Accounting & Finance

Ya kwanza ndo namshauri sana asome kozi nzuri sana hiyo kama atakaza akapata GPA >4 BoT, wizara ya fedha lazima wamvute bado mabank nknk
 
1. Economics & Finance
2. Accounting & Finance

Ya kwanza ndo namshauri sana asome kozi nzuri sana hiyo kama atakaza akapata GPA >4 BoT, wizara ya fedha lazima wamvute bado mabank nknk
Mkuu hii economics and finance inapatikana vyuo gan hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom