Nimempa mpenzi wangu laki moja ya kununua simu, kakasirika na kususa

Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?
Either unaupungufu sehemu, au wewe bado ni mtoto!

Wewe una uhaba wa pesa, una uwezo mdogo kifedha hivyo basi tumia pesa zako "kwa akili" ishi frugally , huku ukitafakari ni namna gani utaongeza kipato chako x2 ,

Acha kusumbuwa kichwa chako kujiingiza kwenye majukumu yakipumbavu kama hayo..

utaishi kulizwa tu huna pesa , na pesa unayipata yakudunduliza "unawekeza" kwenye "uchi wa mwanamke" unao share with several other beta male kama wewe .. wekeza pesa zako kwenye vitu vya msingi basi saidi hata wasiojiweza upate baraka ,

eti "unambembeleza" what kind of sick $#it is that??? Acha uzoba na ushamba wa mapenzi
 
Unambembelezaa Mwanamke umhonge hela yako??? Hivi ni utahiraa au kulogwaaa.... Yani mimi ningeshukuru kwanza siwezi fanya utopoloo wa kumnunulia simu mwanamke kisa tu nadate nae..
Teh teh teh anakataa heeeeela!!!. Tena ya kiasi kikubwa ivyo. Apo huna kitu Mzee, badili mwanamke chap, la sivyo atakusumbua Sana.
Tatizo halipo kwa mwanamke taizo lipo kwake huyu mleta mada hayupo sawa anahitaji ushauri au hata kujifunza mahusiano na stage zake kama , mapenzi tu, uchumba ndoa ...

Anaamni vitu ndivyo sivyo, anampa mwanamke thamani kubwa , pasipo yeye kuthaminika ..

Kinachofuta mwanamke yyte lazima akudharau
 
Wanaume wanaenda wanaisha,nikamwambia hela sina kwa sasa akasema ameazima kwa mama yake
Huko kote ni kubembeleza mbunye ama?
Watu wengine msiwaweke kwenye kundi , wanaume tumegawanyika ! 😀

Bila shaka hata weqe unajuwa kuna aina ya mwanaume huqezi kumltea pigo fulani , hata kama unawafanyia wengine
 
Uyo angelikutana na wazoefu,

Iyo ndo ingelikua tiketi na sababu rasmi ya kutokuonja thumni ya yako mpk anaingia kaburini maana always pesa haizikataliwi. Hate iwe ndogo Kia's gani.
Visa vyako vinakinzana na hii bcoz wewe huachi unaatamia unachukia na kusamehe fasta unarudi tena
 
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha Nikamwambia sawa. Alisema alichukua laki mbili. Nikamuongeza 50 akanunua simu.

Sasa nilipata dharura kidogo hela ikafanya mambo mengine. Ilivyofika siku ya kumpa Ile laki mbili nikawa Sina laki mbili Nina laki. Nikamuelewesha nimepata emergency. Naomba tulipe laki then baadae tulipe laki akamind. Akazira akasema hataki Tena.

Nikaongea naye, wap, akasema hatak maana natoa promise za uongo. Nimembembeleza lakin wap...kazira, wakuu huyu nimfanye je?

Hii kwangu siishangai elezea kidogo sifa zake hasa uzuri, mfano kama ni anajiona pis kali na kama wewe sio handsome relatively basi ni sawa anakusaidia na mchango wako sio tiba ya hisia bali ni materials, na ako na wanaume wengine wanaowezea hio kitu so haimati, au biti au mchanga au madharau na mengine. Kama unaatamia mapenzi na unahifadhi memory za utamu vumilia hadi ukifika saturation au diminishing marginal utility. Kanuni unaponyandua nyakati za mpito take into account consumption with expire date. Pricing always contributes to economics, and it's the only profit item among Ps
 
Chukua huu ushauri. Mamako atakushukuru na kukuombea sana ufanikiwe tena na tena. Na machozi ya furaha juu...na kweli utabarikiwa sana na mfuko wako hautapungukiwa.

Ila najua hiyo hela utairudisha tu kwa huyo mdangaji - hasa kama ni pisi kali. Wanaume sisi yaani basi tu

Bro bro daaah
 
Kwanza bro kuwa gentlomen kama huna uwezo ya nn kuahidi kitu ambacho huna ww ungemuanbia uchumi wangu haupo vzr ntakusaidia laki ungepungukiwa nn tatizo lenu vijana mauongo mmezidi mara kuna pesa nasikiluzia shez kabisa
 
Mkuu mambo huwa yanabadilika. Matatizo yanakuja ghafla. Nikipata dharura ningefanya je?
 
Back
Top Bottom