Recent content by mtozwaushuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Who is Maharage Chande?

    Sure. Nilimfundisha hapo Kinondoni. Ila alikuwa anaitwa Chande Maharage. Kumbukumbu yangu kumhusu ni kwamba alikuwa mwanafunzi mzuri mwenye kupenda kujua/kuelewa. Yani kitu asipokielewa atakusumbua mpaka kieleweke. Pia alikuwa msafi na mtanashati sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari nje

    BIFORWARD NIMESHAWATUMIA NI WAZURI HAWANA USWAHILI/ GARI KUCHELEWA HUTOKANA NA TIMING YA WEWE UNAPOAGIZA NA MELI INAPOONDOKA KULE. UCHAKAVU WA GARI NI CHOISE YAKO MWENYEWE. VINGINEVYO JARIBU SBT
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari nje

    TRADECARVEW HAWANA OFISI TZ. WANATUMIA MAWAKALA KAMA WALMAX AMBAO SIKUSHAURI MAANA WALINISUMBUA SANA MIMI NA VITU VILIPOTEA!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mbariki Salim Ahmed Salim. Yadaiwa anaumwa, yupo kwenye matibabu

    Huyu ni katika viongozi wachache waadilifu katika nchi hii. We missed him as president some time back. Mizengwe ilikuwa mingi. Ooo hajaishi tz, oo mara haijui nchi maana muda wote yuko marekani. Ilimradi kila mtu alikuwa na la kwake. Nikajiuliza, wazungu na waarabu walipotoka watokako...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mfanyakazi wa TTCL afariki kwa kupigwa jiwe na Mumewe

    Hujui kusoma? Mke aloshajiondokea akaenda kupanga na wanae
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Bora hata uokotwe mafinga uzikwe tujue moja kuliko ya kupotea kama saanane jamani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Liwa ni nini?

    Liwa is Sandal wood in english
  8. M

    JamiiForums Tanzania Duka La Vifaa Vya Mapenzi

    Mbona hamsemi hizo sex toys zinakopatokana Dar? Mmebaki mnalumbana tu majibu hamtoi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Wakristo wametumbuliwa mwanzo mwisho sijasikia comments za udini. Mkuki kwa nguruwe
  10. M

    JamiiForums Tanzania 50th anniversary of Weruweru Girls Secondary School - the golden ladies jubilee

    Yule mama yetu ni MAMA wa ukweli! Alitulea kama watoto wake wa kuwazaa. Alikuwa na uchungu na sisi kwa namna ya tofauti. Alijaribu kila lililowezekana kuondoa tofauti za backgrounds za wanafunzi (ukizingatia kipindi cha MWALIMU wanafunzi walikuwa wanaletwa toka kila pembe ya nchi with different...
  11. M

    JamiiForums Tanzania 50th anniversary of Weruweru Girls Secondary School - the golden ladies jubilee

    Yule mama yetu ni MAMA wa ukweli! Alitulea kama watoto wake wa kuwazaa. Alikuwa na uchungu na sisi kwa namna ya tofauti. Alijaribu kila lililowezekana kuondoa tofauti za backgrounds za wanafunzi (ukizingatia kipindi cha MWALIMU wanafunzi walikuwa wanaletwa toka kila pembe ya nchi with different...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tapeli rachel atafutwe

    hii inaonyesha ni jinsi gani rushwa ya nchi hii imefika mbali hata soni hakuna tena
  13. M

    JamiiForums Tanzania changamsha akili kidogo

    don kil m, let'm go
  14. M

    JamiiForums Tanzania Boil brain.

    nani kakwambia kisima kina maji? mnapewa maswali rahisi mnayacomplicate matokeo yake mnatoa majibu ambayo si ya maswali husika ndo maana mnafeli
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sijui kama siku hizi zipo hizi

    kuloweka kanga mpya na maji ya chumvi eti isichuje au kupauka
Back
Top Bottom