Recent content by mtimbaru

  1. M

    Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

    . mula umenitia aibu sana.proove udikiteta wa cdm uko wapi ,taratibu za kuwan'goa madiwani watano zilifuatwa
  2. M

    Dr. Slaa kutogombea Igunga

    wewe ma ma una kidomo sana ,hushindwi,basi kagombee wewe
  3. M

    Namzimia shyrose

    mimi namsifu sana huyu dada ni mtu amesoma vizuri,ni mchapa kazi nazaidi ni mvumilivu sana na hakati tamaa na hana kinyongo,nilimshuhudia wakati anagombea nyadhifa za chama. big up shyrose. ninasikitika kwa wale wote wanaokuchafua ,waache na wakome
  4. M

    Nini hatma ya katibu mkuu wa Nishati na Madini?

    kujiuzulu tu haitoshi kama ni kweli, jamani ashtakiwe,ingawa serikali imewakumbatia mafisadi wengi tu
  5. M

    Ujasiri wa Pinda Umetoka Wapi?

    kashfa ya mr jairo ya uchangishaji wa sh billion moja ili kugharimia uwasilishwaji wa bajeti ,jambo hili linatatiza sana. uchunguzi wa kina ufanywe ni kwa nini mr jairo alifikia hatua hiyo. wabunge wa ccm mshikamano mlioonyesha kwenye makadirio ya bajeti ya wizara ya nishati kama ingekuwa kwa...
  6. M

    Kuwa nje ya nchi wakati wa tatizo kubwa la umeme ni ishara kuwa bado hatuna kiongozi

    lazima ujue kuwa rais wetu sio serious kwamabo ya msingi
  7. M

    Mh jk tatizo la umeme mpaka lini

    MH RAIS- Tatizo la umeme ni kubwa sana ,uchumi wa nchi unashuka,elimu inashuka ,umaskini unazidi kuongezeka.ushauri wangu fanya maamuzi magumu kopeni fedha kwenye mabenki ya ndani na mnunue jenereta ili kutatua tatizo,mh rais ukifanya hivi utajijengea heshima na imani kwa wananchi
  8. M

    Nape, tuambie ufisadi wa Lowassa

    MSEMA ovyo UNAJARIBU KUMSAFISHA EL UMECHELEWA MNO, AU KUNA KITU UMEAHIDIWA NA WEWE NI FISADI KALE CHAKULA ULALE
  9. M

    Pozi la membe na msuya msibani.....

    kapwani lete thread zilizoenda shule nasio kusema watu
  10. M

    Dr slaa anahitaji pongezi kwa hilli

    omr upende usipende nchi tunamkabidhi dr wa ukweli dr slaa,hakuna mwenye ubishi dr ni mpambanaji na ni kiboko cha mafisadi na hata kuondoka kwa ra ,dr slaa amechangia sana. Omr kama huna hoja kaa kimya nasio kutoa matusi
  11. M

    Clouds aibu tupu Uingereza haina rais

    Hata mimi huwa napata shida sana na radio ya clouds ,kuna siku walimshambulia mkurugenzi wa Tanesco tena kwa jina kwa maneno ya kejeli kuhusiana na mgao wa umeme,kiasi kwamba hiyo redio ingeweza hata kushtakiwa.TATIZO JINGINE LA CLOUDS LUGHA WANAYOTANGAZIA SIO NZURI,NAOMBA WAJIREKEBISHE
  12. M

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    huyu shibuda ni mamluki na alijiunga cdm kwa ajili ya kukipasua ,haiwezekani ukawa cdm na hapo hapo unapinga sera za chama ,hii haikubaliki. kamati kuu shughulikieni suala hili na ikibidi shibuda afukuzwe chama
  13. M

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    . kubenea ili heshima iendelee kuwepo tafadhali usigombee ubunge ,mimi naona kwenye mwana Halisi unafanya vizuri zaidi kwa kutuelimisha kuhusu uozo wa ufisadi unaotokea nchi hii
  14. M

    Mabunge yetu

    inasikitisha sana wabunge kulala bungeni ni kwasababu ya goodtime wanayopata posho nyingi na mshahara mkubwa WABUNGE ACHENI KULALA TATUENI MATATIZO YA WANANCHI
  15. M

    Ufisadi wa Nape huu hapa

    mh nape zamani nilikuwa nakuona mzalendo wa kweli na hasa ulipofichua mkataba tata wa ujenzi wa jengo jipya la umoja wa vijana na bila uoga ulimshambulia mh lowas kwa kumwuhusisha na ufisadi wa mradi huo nasikitika sana unaharibu cv yako kwa kutukana watu kama dr wa ukweli DR SLAa ,jitahidi...
Back
Top Bottom