mh nape zamani nilikuwa nakuona mzalendo wa kweli na hasa ulipofichua mkataba tata wa ujenzi wa jengo jipya la umoja wa vijana na bila uoga ulimshambulia mh lowas kwa kumwuhusisha na ufisadi wa mradi huo nasikitika sana unaharibu cv yako kwa kutukana watu kama dr wa ukweli DR SLAa ,jitahidi kutumia lugha za kiungwana ,unpoongea kweny radio au tv kuna wtu wengi wanakuona unavyojishushia hadhi, jaribu kujibu hoja na sio kumshambuli mtuMsemahovyo, nilishaacha ukuu WA wilaya DC, SIKU TU NILIPOTEULIWA KUWA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NILIACHA U DC, GARI YA SERIKALI NA STAHILI ZOTE ZA DC IKIWEMO NYUMBA NA OFICE. ACHILIA MBALI MSHAHARA, TENA PESA ZANGU ZA KUACHA KAZI SIJALIPWA MPAKA LEO, HII ILIKUWA PROPAGANDA YA PADRI MMOJA NILIPOULIZA MSHAHARA/POSHO YAKE.....SIJAWAHI KUPOKEA MISHAHARA MIWILI.