Mh jk tatizo la umeme mpaka lini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh jk tatizo la umeme mpaka lini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtimbaru, Jul 18, 2011.

 1. m

  mtimbaru Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MH RAIS- Tatizo la umeme ni kubwa sana ,uchumi wa nchi unashuka,elimu inashuka ,umaskini unazidi kuongezeka.ushauri wangu fanya maamuzi magumu kopeni fedha kwenye mabenki ya ndani na mnunue jenereta ili kutatua tatizo,mh rais ukifanya hivi utajijengea heshima na imani kwa wananchi
   
Loading...