Recent content by mtengwa

  1. M

    Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

    Mwaka wa 5 ktk ndoa sijafanikiwa mtoto, nikiona watu wanawaza kutoa mimba naumia Sana.
  2. M

    Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

    Kiwanja cha Kijichi. Kama hakijapimwa fosi kipimwe. Nenda Benki mfano NMB nenda na ramani na makadirio ya Ujenzi, waombe mkopo wa ujenzi, utapewa duration ya rejesho na kiasi cha rejesho. Ukibana huo mkopo unaweza kujenga na kukarabati nyumba ya maramba. Ukianza kuchukua Kodi uta peleka...
  3. M

    Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

    Duh me wife kanipigia hapa, nimepita Njia ya KIJICHI nimenusurika
  4. M

    Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Mwezi wa Nne tunatarajia kuanzia ujenzi wa barabara DMDP. Hizo road zenye rangi Nyekundu ndio zitawekwa lami.
  5. M

    Mtu gani alisababisha upate kazi?

    Nilikua na struggle mzee, biashara unaleta mzigo unauza kwa kukopesha kwa jumla kwenye maduka. Wanalipa kidogo hata kama mzigo ameuza wote. Faida hauioni. Hizi item uzuri wake ukiwa nayo unayo. Ukiuza umeuza unasubiri cash.
  6. M

    Mtu gani alisababisha upate kazi?

    Mwanangu R. Aliniambia kuna bidhaa flani dili sana, kuna siku tulikua dubai akaniambia walijaribu tafuta kiwanda wakapata ila wanatengeneza kwa oda. Nikaweka akilini hiyo. Siku moja nikaona video mtu amepost anauza katika soko letu. Nikaingia alibaba nika search jina la hiyo product nikakutana...
  7. M

    Msaada wa Tv flat screen bajeti 200k

    Ailyons frameless 32” 200,000 Ailyons Double screen 32” 200,000 Zunne Double Screen 32@ 200,0000 Tupo Kkoo Msimbazi 0714883861
  8. M

    Utapeli kwa mawakala unakuwa hivi!

    Hii ilitokea dukani mke wangu ndio alikua anahudumia. Kuna 1m nilikua nayo kwenye simu nikasema ngoja nitoe then nikifika town nimpe namba ya wakala mwingine aitoe. N:B mke alikua mgeni kwenye uwakala nilijua atapigwa tu ili apate akili so nilikua naacha mtaji less than 400k, siku hiyo bana...
  9. M

    JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

    Nina rafiki alitakaga JBL speaker 2.1 Nikamuagiziaga Dubai. Hapo Tukatuma 494,000 Then Hela ikafika kwa supplier aka delivery kwa Ajent wangu Kilimanjaro Star Cargo Mzigo ukafika after 3 weeks Nikalipia kama 170,000 So total hadi unafika was 664,000
  10. M

    USHAURI: 63" Hisense Vs 55" Samsung

    Bei ya jumla, kwa dealer. Kama unahitaji Unatumia jina langu la uwakala, nakupeleka unachukua Tv then unanipa commission yangu.
Back
Top Bottom