Mtu gani alisababisha upate kazi?

Mtu gani alisababisha upate kazi?

Baada ya mnyama PCB kunichakaza matokeo ya kidato cha Sita Shemeji yangu akaniambia Nenda kasome Diploma ya mechanics engineering
Nilivyomaliza Tukaenda nyumbani kwa kigogo mmoja akamwambia kuwa mm ni mechanics anifanyie mpango niingie kwenye hiyo Mamlaka ilikuw Ijumatano jumatatu nikalipoti kazini kigoma

Shemeji yangu ni mfupi kama mnavyojua matatizo ya watu wa fupi lkn hapa aliupiga mwingi

Nitaleta muendelezo jinsi sifa zilivyoniponza mpaka nikapokonywa ukuu wa idara ya mechanics hapo job
naona jamaa wa ikulu ajahusika kabisa
 
Sina hata kazi nipo naangalia Movie tu hapa ya Bird Box Barcelona sina hata connection 😥😥 kila ofisi nikienda wanasema tupo wengi mpaka wengine wamepunguzwa

Mwenye connection hata ya kazi anipe
Course gan iyo mkuu
 
mzee flani hata sikumfahamu kabla, ila nilimpa ushindi baada ya kuwa wanagombea mdada wa baa. nikaamulia ugomvi ule na kumpa mzee aondoke na mdada. baada ya wiki alikuja mtaani kunitafuta akasema nna adabu basi akaniingiza kwenye kazi flani (ya kampuni) nilikuja kuiacha badae
 
Sina hata kazi nipo naangalia Movie tu hapa ya Bird Box Barcelona sina hata connection 😥😥 kila ofisi nikienda wanasema tupo wengi mpaka wengine wamepunguzwa

Mwenye connection hata ya kazi anipe
Hiyo bird box Barcelona nime ona trailer ni 🔥🔥, Kuna Uzi nime kutag Kuna job kacheck.
 
Habari,

Tunajua kwenye maisha Yetu kila kitu ni Mungum

Hebu Tuambie Mtu unaye mu admire alisababisha wewe upate kazi unayofanya au uliyowahi kufanya kupata maisha.

Mimi nilikuwa kitaa kuna binti mmoja alinitumia tangazo la kazi kwenye WhatsApp akiniomba nimsaidie kuaplai kazi nikafanya kazi aliyonituma nami pia nikaamua kuaplai ni ajira za NGOs ya afya.

Aisee Mimi ndo niloyeitwa kwa interview na nikapata ile kazi.

Ashukuriwe sana Yule binti J.

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Me namshukuru mdau mmoja wa hapa hapa jamii forum. Alinikonekti na kazi ya kuwa cashier mahali fulani. Hadi sasa nafanya kazi hii hadi nitakapofikia muda wa kujifungua.

Kipindi cha miezi ilopita kidogo Niliwahi kuweka tangazo la kuhitaji kazi hapa jf. Na niliweka tangazo nikiwa na stress za kutelekezwa nikiwa na ujauzito na nilitelekezwa na mwanaume mwingine tuliyekutana naye hapa hapa jamii forum pia... ninapoandika posti hii mhusika aliyenikonekti akiisoma mwenyewe anajijua huyu mtu namuombea mbingu zimtunze kwa kweli

Kiukweli fursa tupo nazo hapa hapa wapendwa. Usione aibu kujinadi kwamba wewe ni jobless. Ambao hatujapata tujitose kila mahali tunapoona fursa zinapatikana

Kwa kweli Mungu ambariki sana. Mwanzoni nilidhani ni utani lakini alinikonekti mahali ambapo niliitwa na kufanyiwa usaili na kupewa kazi. Kiukweli hata hapa jamii forum kuna watu wazuri wanaoweza kusapoti wengine katika koneksheni za kazi
 
Kumbe ni ww aisee mungu amekupa kilicho bora aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom