Recent content by MTENGE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Wanazidisha umaskini nchini ambao hauna tija yoyote
  2. M

    JamiiForums Tanzania usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Maadam Rais karudi, na imani Rweyemam atakuwa ameshamwandalia wazee wa Dar aongee nao, kwani ndivyo alivyoamuru hayati Mganga wake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

    Nadhani sasa Rweye anampangia mkutano na wazee wa Dar ili awaeleze, maana haongei na wahusika kama alivyoamuriwa na mganga wake
  4. M

    JamiiForums Tanzania New movies 2015- mabwepande and the wrath of the pliers

    Katika onyesho la nne, watatafutwa watu wengine ambao watabebeshwa huu mzigo wa nani mhusika, maana ili picha iishe salama lazima watafute mtu watakayemtwisha mzigo walioubeba maana unawaelemea nisawa na kubeba gunia la mavi usipolemewa litakunukia, Inavyoonekana mkuu wa kaya amewapa muda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

    Umekuwa kilaza wakuanza 2nd half ya mwaka huu, hawako competent, hawana uzoefu, kwa hiyo serikali inaajiri watu wasiokuwa competent.....MY GOD, Tena anasomesha watu ambao hawako competent......It is terrible, Mbaya zaidi inawadhaminisha maisha ya watanzania million 40. Any way, nisamehe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

    Kilaza akimshauri kilaza kitu naye akafuata anaonekana kilaza zaidi, waliandamana kwenda kwa wagonjwa au kwa madaktari? Ila nawasifu kwa maana maisha ya chuo tight wamepewa perdiem wafanye hivyo its good, je hiyo ndio njia ya kumaliza tatizo, noi sifuri kawashauri akina ziro
  7. M

    JamiiForums Tanzania Walio nyuma ya mgomo wa madaktari ni hawa...

    Mchawi mkubwa ni Serikali yenyewe, kwa matumizi yasiyo ya lazima, kama kununua mashangingi mafano tume ya kuratibu katiba , safari ambazo sio muhimu na convoy kubwa, matumizi makubwa ya sherehe kama miaka 50 ya uhuru, tume zisizo na tija, posho kwa viongozi kuwa kubwa sana mfano wajumbe wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

    Hana stress wala nini. Kaenda kuchukua per diem yake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    Maadam amesema msangi hajahusika, basi yeye anafahamu waliohusika, awataje basi that is the only solution pili kama hatumii kisigino kufikiria kama serikali yake kesi iko mahakamani waiache mahakama iendeshe kesi atakayepatikana na hati atajulikana. Tatu hiyo tume mbona iliundwa haraka sana na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Mwembebahasha - Tamga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji huu wa Mwigulu Nchemba ni kwa faida ya nani?

    Among illiterate I ever heard in the world the man has the 1st class degree of illiterate as he said himself, he was honored 1st class degree of illiterate
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    Kwa hali hii migomo ya wafanyaakzi haitaepukika kamwe, lilobaki ni kwenda kazini, soma magazeti rudi nyumbani ukayasikilizie maumivu ya ugumu wa maisha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani msafi CCM?

    The bird of the same feather fly together, tangu lini chiwa akaruka na kunguru
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makinda kutoa Tamko kuhusu Mbunge wa Bahi

    Chama kniajipanga kumsafisha ili kuondoa aibu kama walivyofanya alivyotuhumiwa bungeni spika akakaa kimya
  15. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kwa chama cha mapinduzi

    Comrade all what you tell them they know, but they pretend that its wrong and what they do now is correct, they try to comfort there soul and no peoples soul, that is the different between CCM CDM
Back
Top Bottom