JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

Ni kweli sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria,

Sielewi yeye anafuata nini huko?

Nchi ipo kwenye hali ya hatari yeye kiguu na njia nje!

na kuna tetesi kuwa ataunganisha hukohuko hadi Denmark kwenye tuzo za Guiness.........Mungu awasamehe watanzania
 
Mida hii ndo ameingia hapa Amahoro Stadium na mama Mama salma.

Kama ni kweli basi sio tu kwamba ni DHAIFU bali pia HAMNAZO!! Kwa hali ilivyo Mkuu wa nchi unathubutu kuonyesha uso mbele za watu ugenini wkt home kimenuka!!!! Nimesoma uzi hapa umenukuu kinachodaiwa kuwa ni Hotuba ya Rais kwa wa-Tz, 30.06.12 iliyonukuliwa toka Michuzi Blog - Hivi Michuzi Blog ndo Kurugenzi yake ya Mawasiliano kwa wananchi siku hizi??? Tafakari!!
 
Mida hii ndo ameingia hapa Amahoro Stadium na mama Mama salma.

Anajisikiaje kwa kauli ya meja Kagame kuwa "akipewa Tanzania, kwa mbuga za wanyama peke yake ataifanya kama Japan"
 
Huyu mzee hana upeo kabisa.nchi ina matatizo lukuki yeye yuko kwenye masherehe...yaani kuwa kabila ya jk ni tusi baya sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani nazidi kuomba maombi yenu nisije kupata BAN humu. Ameongozana na Msafara wa watu zaidi ya 7 (per diem). Kwa shughuli Kama hiyo Rwanda angemtuma hata Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje. Huku nyumbani moto unawaka Baba na Mama wenye nyumba wameenda Beach Party Coco beach!!!! Kazi tunayo wenye nchi.
 
Amwazime Kagame kuongoza hii nchi angalau kwa mwaka mmoja tu.....
 
oky amekwenda na mama salama condomu iyo nauli ni bora tunge nunulia mashine ya X-RAY dhaifu sana huyu jamaa
 
Kichupi kinabana, sasa yuajipendekeza kwa Kagame kwa sauti ya Kagame ni kubwa duniani kuliko ya Tanznaia iliojaa madudu
 
Rais wa Tanzania Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete yupo nchini Rwanda leo kuhudhuria sherehe za miaka hamsini ya uhuru wa nchi hiyo!

Kwamjibu wa mtandao wa twita wa serikali ya nchi hiyo wa RwandaGov unaoripoti live shuguli nzima ya sherehe hizo, umemuonyesha rais wa Tanzania akiwa na viongozi wengine katika meza kuu ndani ya uwanja wa Amahoro!

Mgomo upo, na utaendelea kuwapo, rais yupo na rais yupo na ataendelea kuwepo!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Madaktari, Mungu mponye Daktari Ulimboka!

Kikwete anairudisha nchi iwe nchi siyo kama ilivyokuwa enzi za huyo uliyebeba jina lake na huo ndio usongo mliokuwa nao, aliposhindwa "mtakatifu" Kikwete anafanya kiulaini.
 
Mida hii ndo ameingia hapa Amahoro Stadium na mama Mama salma.

Na akitoka huko anaenda zake canada.ana muda na shida zenu hivi kama mtu ujawahi kupata tatizo unalijuaje tatizo?
Mytake:Kagame anasifika kwa kunyamazisha wabaya wake hata walionje ya rwanda hilo lina weza pia kuwa sababu ya yeye kwenda ili kufanikisha adhima ya Dr. Ulimboka
 

Nadege-Uwamahoro.jpg
 
Kumtetea rais wangu nashindwa kabisa. Ataendaje huko ikiwa raia wake wanakufa huku? Ni aibu kweli, kweli kuacha watu wako wanalia na kufukiana makaburin wewe unatanga na njia kweli alieshiba hamjui muhitaji.
 
Kweli kuna ombwe la uongozi tanzania. Nadhani hata kichaa au matonya anaweza kuwa raisi wakutufaa kutuongoza kuliko huyu jamaa
 
Back
Top Bottom