Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

Rais Jakaya Kikwete arejea nchini

wazee wa mahakama ya kadhi.O.I.C na uamsho!Ni hatar kwa aman ya tz.Hawafai!
 
mh rais amerud, tunaomba awatazame watu wake kwa macho mawili

UPDATE
Msafara wake umeongozana na makamu wa rais na IGP na ndio waliompokea Airport. sijui IGP ana maagzo gan ila natumaini JK amepewa hali halisi iliyopo
for what!
 
Kwanini hawa jamaa hawakwenda Magogoni? ningefurahi sana kama wangeenda kule kumtia aibu
 
mimi leo natangaza rasmi..yoyote aliyempigia kura d.haifu 2005 na 2010 ana matatizo ya akili
 
alienda kuchukua hela za kufadhili uamsho, na kutafuta udhamini zaidi
 
Heri amerejea kuona watu wake aliowalea. Tumesema hadi tukachukiwa kuwa Kikwete ameufuga udini uchwara unaofanywa na wakimbizi wenye njaa na kiu ya damu ya watanzania. Si waende Saudia waone huo uislam wao kama ni mali kitu.
 
J.M.K Hana jipya amekuja baada ya ziara yake kwisha, wakati wenzake huwa wanakatisha ziara kuangalia hali ya nchini mwao?
 
Nadhani sasa Rweye anampangia mkutano na wazee wa Dar ili awaeleze, maana haongei na wahusika kama alivyoamuriwa na mganga wake
 
akiwa bongo anahis yupo ukweni

Ha ha ha ha.. Mkuu hii ni kali kuliko..! Ukweni hutakiwi kukaa muda mrefu.. Heshima itaporomoka.. So Presidaaa anahici hivyo..! Kweli JF haikoci vijimambo..
 
Back
Top Bottom