Mheshimiwa rais waeleze ukweli hawa madaktari, ni kweli wana skills za kutosha?

we nikei kfanye kwanza uchunguzi ndio uje hapa sio unakurupuka tu..unasema madaktari wa bongo hawana skills..?lusinde na mganga wa kienyeji majimarefu wanaolipwa 10m ndio wana skills eeh..?
 
madaktari wote wazuri Botswana ni watz na product ya vyuo vyetu vya Tanzania,ila unapokuja mazingira ya kazi unatumia 0.005% ya kile ulichonacho kwenye akili,kikwazo kikubwa ni mazingira hayaruhusu,Kwa kukusaidia hakuna kitu kinaumiza kwa dr au nurse kuona mgonjwa anakata roho huku ukijua labda angesaidika kama a,b,c,d ingekuwapo nazaidi nipale unapoona ndg kila ukiwambia kanifanyieni hiki labda private wanadhani kule private ni Hospitali yako.mbali na hiyo hata baadhi ya vipimo vilivyopo havikidhi mahitaji kulingana na idadi ya wagonjwa unakuja leo huko serious unatolewa damu majibu unapata baada ya wiki mbili ujafa?imekuwa kawaida majibu halisi ambayo yangemsaidia dr kumtibu mgonjwa ipasavyo kutoka baada ya muhusika akiwa makaburi au kanisaniau msikitini ndg wanatoa salamu za mwisho na wanamalizia jitihada za madr zilishindikana ndg yetu ametutoka unadhani sie tuna mioyo ya chuma tumechoka .kamsomeshe mwanao aje atibu kwenye Mazingira hayo
 
Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Ninavyoamini mimi ni kwamba unapokuwa na taaluma fulani na kama unaipenda unaweza kujiendeleza wewe mwenyewe na kuwa competent. Madaktari wamejaa kiburi na wanataka kuonyesha kwamba fani yao ni ya muhimu kuliko fani zingine. serikali inautaratibu wake katika masuala ya ajira. Badala ya kuandamana kuhusu pesa tunataka waandamane kuhusu vifaa wanavyohitaji ili tusiwapeleke watanzania nje ya nchi kwa ajili ya matibabu. Tupo tayari kutoa michango kwa ajili ya vifaa vya matibabu tunaomba waviweke wazi. Kwa kweli tumechoka na hizi gharama za kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Mbona mnajipigia debe wenyewe, vipi kuhusu manesi?[/QUOTE]

Ukirudia mara tatu hii thread yako utatambua ukweli wa mambo uliyoaandika, la sivyo huna tofauti na waheshimiwa wako ambao leo wanaongea hili kesho wanabadilisha, Mwanzo mwa aya yako umeongea kingine ukamalizia na kingine.
 
Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Ninavyoamini mimi ni kwamba unapokuwa na taaluma fulani na kama unaipenda unaweza kujiendeleza wewe mwenyewe na kuwa competent. Madaktari wamejaa kiburi na wanataka kuonyesha kwamba fani yao ni ya muhimu kuliko fani zingine. serikali inautaratibu wake katika masuala ya ajira. Badala ya kuandamana kuhusu pesa tunataka waandamane kuhusu vifaa wanavyohitaji ili tusiwapeleke watanzania nje ya nchi kwa ajili ya matibabu. Tupo tayari kutoa michango kwa ajili ya vifaa vya matibabu tunaomba waviweke wazi. Kwa kweli tumechoka na hizi gharama za kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Mbona mnajipigia debe wenyewe, vipi kuhusu manesi?

Nakei
Watu wenye majina haya sio wachovu wa kuelewa mambo,hilo tu ndio limenisikitisha
 
ukiwa hujui kitu bora ukae kimya cz unapoongea sana unazidi kuonyesha jinsi gani wewe ni mpumbavu sana yaani unauweka wazi upumbavu wako
 
Umekuwa kilaza wakuanza 2nd half ya mwaka huu, hawako competent, hawana uzoefu, kwa hiyo serikali inaajiri watu wasiokuwa competent.....MY GOD, Tena anasomesha watu ambao hawako competent......It is terrible, Mbaya zaidi inawadhaminisha maisha ya watanzania million 40.
Any way, nisamehe, nikawaida kwa nchi kuajiri wasiokuwa na sifa tulisikia ya BOT, na NSSSF.......Kumbe hata kwa madaktari,
Kweli wewe ni dhaifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
tatizo la akili ndogo kuongoza akili kubwa ndio hii lako!!! Unaushabiki wakijinga kama hujui tatizo la madaktari hadi sasa wanadai nini basi wewe unamatatizo

nimeipenda style yako ya kukata gogo, unapendeza weye!!
 
Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Ninavyoamini mimi ni kwamba unapokuwa na taaluma fulani na kama unaipenda unaweza kujiendeleza wewe mwenyewe na kuwa competent. Madaktari wamejaa kiburi na wanataka kuonyesha kwamba fani yao ni ya muhimu kuliko fani zingine. serikali inautaratibu wake katika masuala ya ajira. Badala ya kuandamana kuhusu pesa tunataka waandamane kuhusu vifaa wanavyohitaji ili tusiwapeleke watanzania nje ya nchi kwa ajili ya matibabu. Tupo tayari kutoa michango kwa ajili ya vifaa vya matibabu tunaomba waviweke wazi. Kwa kweli tumechoka na hizi gharama za kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Mbona mnajipigia debe wenyewe, vipi kuhusu manesi?

Sidhani Kama unafahamu vizuri unachokiongea.
 
Muheshimiwa Rais ni kwanini
unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills
za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka
hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo
wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka wagonjwa nje ya nchi.
Ninavyoamini mimi ni kwamba unapokuwa na taaluma fulani na kama
unaipenda unaweza kujiendeleza wewe mwenyewe na kuwa competent.
Madaktari wamejaa kiburi na wanataka kuonyesha kwamba fani yao ni ya
muhimu kuliko fani zingine. serikali inautaratibu wake katika masuala ya
ajira. Badala ya kuandamana kuhusu pesa tunataka waandamane kuhusu
vifaa wanavyohitaji ili tusiwapeleke watanzania nje ya nchi kwa ajili ya
matibabu. Tupo tayari kutoa michango kwa ajili ya vifaa vya matibabu
tunaomba waviweke wazi. Kwa kweli tumechoka na hizi gharama za kupeleka
wagonjwa nje ya nchi. Mbona mnajipigia debe wenyewe, vipi kuhusu
manesi?

vip ushamaliza home work uliyo pewa tution???
 
Katika Madai 12 Madai 11 ni posho ambayo inafikia kwa mwezi jumla ya 7,700,000/ Katika Africa Mashariki hakuna Madaktari wanaolipwa pesa hizo hat Botswana ambako ndiko Madaktari wengi wanakimbilia hawajafikia hapo.
Tuwe wakweli madaktari wamechemka na hawajaonesha usomi wao katika Mgomo huu.
 
Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili kuonyesha mfano hata kwa wanasiasa kwamba wanauwezo wa kutibu badala ya kutumia ma milioni kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Ninavyoamini mimi ni kwamba unapokuwa na taaluma fulani na kama unaipenda unaweza kujiendeleza wewe mwenyewe na kuwa competent. Madaktari wamejaa kiburi na wanataka kuonyesha kwamba fani yao ni ya muhimu kuliko fani zingine. serikali inautaratibu wake katika masuala ya ajira. Badala ya kuandamana kuhusu pesa tunataka waandamane kuhusu vifaa wanavyohitaji ili tusiwapeleke watanzania nje ya nchi kwa ajili ya matibabu. Tupo tayari kutoa michango kwa ajili ya vifaa vya matibabu tunaomba waviweke wazi. Kwa kweli tumechoka na hizi gharama za kupeleka wagonjwa nje ya nchi. Mbona mnajipigia debe wenyewe, vipi kuhusu manesi?

Ndiyo hawa hawa waliompasua kichwa badala ya mguu na vinginevyo. Ndiyo hawa wanaodahamika kwa kuacha mikasi kwenye matumbo ya wagonjwa. Kama ingekuwa ni nchi nyingine basi hawa walistahili kuwa wana namba kwenye mavazi yao na huku wanakula dona.
 
Unawezaje kufanya craniotomy bila kujua lesion iko wapi kwa ukosefu wa Computerized Tomography Scan. Wewe kweli Nakei, ungekuwa Naem usingeonga pumba hizi
 
Back
Top Bottom