Recent content by mtekula

  1. mtekula

    JamiiForums Tanzania Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.

    binafsi nimejifunza kitu.ahsante!
  2. mtekula

    JamiiForums Tanzania Mbona ya Mussa kubwa!

    hahahaaaa hiyo kali
  3. mtekula

    JamiiForums Tanzania jamani.....!!!! jamani.....!!!!

    sasa hapo unataka tukushauri kitu gani?muoe basi!
  4. mtekula

    JamiiForums Tanzania Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

    pole sana maumivu ni makali sana.jaribuni kukuaa na kuzungumza labda atajirekebisha.lkn sidhani hapo atatafuta njia nyingine tu kunuacha si rahic.kama unaweza kusimama mwenyewe jipange tu
  5. mtekula

    JamiiForums Tanzania TBC1 na Moudoudo

    ovyoo kabisa wametukatisha uhondo wa maudodo na kaka yake mwenye vituko kila kukicha.basi toeni taarifalkn wapo kimya hii ni station ya magamba.
  6. mtekula

    JamiiForums Tanzania Naomba Jibu kwa Wanawake tu..

    me sipendi mbona wanaume wenye rasta.
  7. mtekula

    JamiiForums Tanzania CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

    li sana huyu mtu kwa nn tusimchague jamani atuongoze kuliko haya magamba?tushikamane 2015 awe president wetu .wenzetu wanamtumia huyu mtu jamani.
  8. mtekula

    JamiiForums Tanzania natamani mume wangu anywe pombe

    we usiombe utajuta ndugu.
  9. mtekula

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Noah balaa

    R.I.P Marehemu wote
  10. mtekula

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Umewageuka leo shauri yako. Si unamuona mwakyembe anavaa glov....
  11. mtekula

    JamiiForums Tanzania Though ur a married man, i will always love u

    pole mwenzangu wanaume wakitamani kitu wana mbinu kweli. mpotezee tu.
  12. mtekula

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananitesa, naombeni ushauri

    inakuaje watu hamjali afya zenu jamani yani mtu kakuambia alikua na msichana na we ukakubali kudo nae pekupeku huogopi wewe?aah hata nikikulaumu ndio yashatokea hata hivyo pole sana.kama una kazi yako huna haja ya kumfatilia huyo mwanaume tunza mimba yako na jiwekee akiba ya kutosha ili...
  13. mtekula

    JamiiForums Tanzania Achaneni na mikorogo. Huu ndio uzuri wa ngozi nyeusi!

    dah!no comment hapo.
  14. mtekula

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    mh! pole yani akikohoa tu inatoka.
  15. mtekula

    JamiiForums Tanzania Its My Wedding Annivesary

    hongera mkuu miaka 11 si haba! me ndo kwanza nataka kuingia miezi ya hivi karibuni naomba mungu anitangulie kwa kweli mana vikwazo ni vingi ninavyovishuhudia kwa watu wangu wa karibu wanavyoyumba na ndoa zao.
Back
Top Bottom