Mbona ya Mussa kubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona ya Mussa kubwa!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by pretty n, Aug 23, 2012.

 1. p

  pretty n JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaoa cku za karibuni na mke alikuwa bikra,ucku wa harusi wakaenda kupumzka nyumbani kwao thn mume akavua nguo akamwambia mkewe unaona hii? Inaitwa pomboo af ninayo mimi tu hakuna mwanaume mwngne mwenye nayo thn wakapga mzigo, cku moja mume akasafiri aliporud mkewe akamdaka na kuanza kulalamika,MKE; mume wang kwann umenidanganya? MUME;Nimekudanganya nini mke wangu? MKE;Mbona ulinambia pomboo unayo peke yako kumbe na musa jirani ye2 anayo,(mume akastuka ikabdi awe mpole) MUME; nlikua nazo mbli nkaona nimpe moja MKE;Mh ndo ukaamua kumpa kubwa na tamu vile af we ukabaki na kipisi? Kweli una huruma mume wangu yan ya musa ni tamu sana hdi nainyonyaga. Mume akabaki hoi akajua mkewe keshapgwa gemu na jrani yao
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,250
  Trophy Points: 280
  Uongo mbaya, siku zote laizima ukuumbue, na jinsi unavyozidi kuongea uongo ndivyo unavyozidi kuumbuka
   
 3. mtekula

  mtekula Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaaaa hiyo kali
   
 4. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  ha ha ha ha hiyo kali
   
 5. Mjanja Wa Town

  Mjanja Wa Town JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hahahahaha! Umetisha
   
 6. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Inachekesha,though ni repeated
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu bikra atakwa alikuwa sayari nyingine na si hii dunia maana angekwa akijua kwakusikia toka kwa wenzake
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  imenifurahisha!
   
Loading...