natamani mume wangu anywe pombe

wewe hujasikia ya mtume na nanii na baba

Wa mwenge?Hiyo sina uhakika.Who am I to judge other people by just stories bila uhakika wangu mwenyewe?Isitoshe bible iliweka wazi kuwa siku za mwisho kutakuwa na manabiii wa uongo..Lakn hili halizuii uwepo wa manabii wa ukweli.Hivo mie bora niwe na mume Nabii kuliko mume mlevi...
 
u guys don't ever dream of being fair to womens, angalia walivyo na ukurutu mwingi kichwani.... ukikakaa bila kuwa na scandal za ngono mtaani, hajawahi kukukamate ugoni au kasikia unagombaniwa mtaani na machangudoa ataanza wa nini mimi huyu ambaye no body is interested with him????

Ndio sasa hivi naamini kuwa mwanamke hajui anachotafuta.

Sio kweli,JEZEBEL is always one.
She is jezebel na in no way anawakilisha wanawake wenye akili timamu.
Lakini jezebel ana wafuasi,utawaona kwenye hii hii thread.
 
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha

(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
Wewe upo kivulini. Unatamani ukakae juani?
 
u guys don't ever dream of being fair to womens, angalia walivyo na ukurutu mwingi kichwani.... ukikakaa bila kuwa na scandal za ngono mtaani, hajawahi kukukamate ugoni au kasikia unagombaniwa mtaani na machangudoa ataanza wa nini mimi huyu ambaye no body is interested with him????

Wow...
 
ukiwahi tabu tukichelewa shida
tukinywa nongwa tusipokunywa akina smile tunawakosa
mh
bado niponipo kwanza!!
 
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha

(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members

Natamani Mke wangu awe Smile.
 
Back
Top Bottom