Though ur a married man, i will always love u

mwanamke akisema nampenda 'mume wa mtu' hakuna hatari
ole wako mwanaume uropoke eti 'nampenda mke wa mtu'
uone utakavyo shukiwa lol
Mazee mbona kama umekosea step hapo, hebu siku moja aje mwanamke mbele ya mke wako aseme kakupenda afu utanipa jibu :biggrin:
 
mijianaume iliyo mingi mbona ndivyo ilivyo dada, mmi nilishawahi kukutana nayo miwili eti ilitaka itoe na mahali kabisa kumbe imeoa tayari. halafu ukiiuliza kama kweli haijaoa utasikia "am maximum single baby"! mi sinaga hamu nayo hiyo.
 
Ukweli ni kwamba japo una mke mimi bado nakupenda sana as if nothing hapen bt sipo tayari kukutana na wewe tena popote,upendo wangu utabki moyoni mpaka atakapotokea mwingine

Hapo ndo nimeshindwa kukuelewa kabisa.....ujumbe hapo ni upi?
 
kila siku statistics ya new members inazidi kuwa juu yani members wanazidi kuongezeka kwa kasi! yani unakuta mtu ana account 7!!
kweli mapenzi wanarun dunia.. pole dada angu Muombe Mungu iko siku huu utakua ushuhuda!!
inawezekana huyo bwana walikutana jf!
 
uwiiiiiiiiiiii,madogo yana nafuu ,wala hata hakukupenda alikuwa anakudanganya
Ulimpa tunda?maana watu wasanii sana.
Kama angekupenda asingemuoa huyo ambae alikuwa hampenda,
Pole mwaya jifunze kutokana na makosa .

Fl1,

Hapo tunda ni lakuuliza tena?
 
mwanamke akisema nampenda 'mume wa mtu' hakuna hatari
ole wako mwanaume uropoke eti 'nampenda mke wa mtu'
uone utakavyo shukiwa lol
umeona eh? na kuna watu watakusalia sala zote za duniani na nukuu kibao za maandiko,nachoka kabisa.
 
pole weee
ila kuna wanamme wako kama mashetani
wana nguvu ya kumvuta mwanamke hata kama wana pete kidoleni.

Kama hutaki shida, kaa naye mbali.
Heri nusu shari...
habari ya siku mingi kongosho,,,,vp mbona unanisema aseeeeh?
 
Hope,mbona unanisema hadharani? Si ungeniPM tu? Hujui nina wengi humu jf? Au unataka uniharibie? Kwani mimi kuoa ndo nini!
Hata mimi,will always love you,i promise! Hii ya mie kuoa isikutie homa,ni vijimambo tu.
is it true bishanga? hell! no ulishasemaga hujaoa na unalea kina koku mwnyw.
 
uwiiiiiiiiiiii,madogo yana nafuu ,wala hata hakukupenda alikuwa anakudanganya
Ulimpa tunda?maana watu wasanii sana.
Kama angekupenda asingemuoa huyo ambae alikuwa hampenda,
Pole mwaya jifunze kutokana na makosa .
hapo kwny red upo serious kweli?.ngoja kongosho aje kumjibia kwa niaba yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom