Recent content by Mtegowanoti

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chinese respond to Kenyan women

    Hatimaye wale akina mama waliondamana kulalamika wanaume wa kikenya kushindwa kuwapa mimba, kilio chao kimesikika na wachina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Funny African Proverbs

    "No matter how hot your anger is, it cannot cook yams" Igbo proverb
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta movie zenye kuelimisha vijana

    Asante mdau kwa mawazo chanya. .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta movie zenye kuelimisha vijana

    Wadau Natafuta movie zenye ujumbe na zenye maadili kama Sarafina, The Great Debaters, Invictus, Freedom writers, nk. .Natanguliza shukrani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbona ujenzi wa flyover ya TAZARA unasuasua?

    Ujenzi umefikia wapi? Wenye picha mzirushe hapa isijekuwa ilikuwa tu sinema ya Ngosha. Leteni hata hizo picha sijui mnaita "mobilization period"...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

    Rukwa alianzisha pia misitu ya kupanda na akatenga baadhi ya maeneo kama hifadhi (karibu na Malangali). Sumbawanga kuna Kiwelu Road. Alikuwa mchapakazi asiyependa Longolongo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Namtabiria ‪anguko‬ kubwa ambalo hatutakaa tulisahau

    Ukiona mti unashambuliwa sana kwa mawe jua una Matunda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Joseph Kabila, amfukuza kazi Naibu Waziri Enock Ruberangabo kwa kosa la kupiga punyeto ofisini

    Tuwe na huruma. Tofauti yake na sisi ni kwamba sisi bado kunaswa!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagana na rafiki yake Odinga

    Hivi huyu Odinga amegongewa Passport? Au ndiyo mambo ya kujuana. Hata kuingia nchini sijui kama maafisa wa Uhamiaji walikuwa makini. Majipu ni mengi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Demokrasia bali ni kuona chini ya Magufuli Wazungu hawana lao

    Ni vizuri kuwa na fikra pana juu ya MCC na wahisani wengine kusitisha misaada Tanzania. Kwa mtazamo wangu tatizo siyo yaliyotokea Zanzibar, kwani hata uchaguzi wa 2000 CUF walinyang'anywa tonge mdomoni, na hatukuona mashirika ya nje yakisitisha misaada. Ukweli ni kuwa chini ya Rais Magufuli...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupewa Rungu la CCM June

    Katibu wa CCM Taifa, A. Kinana ametangaza kuwa Kikwete atakabidhi Uenyekiti kwa Rais Magufuli mwezi June.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Why do the best people die so soon?

    They die soon to go to heaven before they can accumulate many sins. On the other hand, bad guys live longer because God is patient; hoping they can repent one day and come back to him (like Prodigal Son Lk 15:11-32). The GOD who is merciful and compassionate wants everyone to be saved.Its our...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Tungekuwa bado semina elekezi Ngurundoto
  14. M

    JamiiForums Tanzania PUTIN said"Trump an outstanding talented absolutely leader.

    Trump is a psychiatric case.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Kagame ajitengenezea njia ya kuwa Rais wa maisha

    Angela Merkel amekaa term ngapi? Na senators wa US kama John Macain. .. Chongo kwa mnyamwezi...kwa mswahili amri ya Mungu.
Back
Top Bottom