Tanzania ingekuwa kama Marekani,, umasikini ungebaki historia
mshukuru Mungu wako kwa Magufuli kutekeleza ilani na aliyokuwa akiyazungumza Lowassa nyie kila baada ya korasi ilikuwa hapa kazi tu au
Lowasa ni hazina ya Taifa
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?
Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?
Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
Wee wa ajabu kweli, mungu ameyasikia maombi au ni ubabe babu kubwa uliotumika, matumainingani unayapata wakati kwa serikali gani ileile ya mawaziri walewale waliokuwa na tuhuma zilezile. Hivi huko ccm hakuna watu, si angeomba tu watu wa ukawa! Unanichekesha kweli ndugu, serikali yako haiwajui wala rushwa? Inawajua fika na inawapa kazi kama walivyorudishwa mawaziri wenye tuhuma kazini. We funua kidomo chako useme fulani kala rushwa, weeeee, utajuta na hatua hazitachukuliwa! Magufuli alianza vizuri, na yule ni mpinzani wa ccm na mwana mabadiliko. Lakini katika mfumo walio nao wenzetu sio rahisi kuwageuka wenziwe akijua wazi wenye ccm ndio waliomweka pale. TUONE MBIO ZAKE! Na niyafurahi akifanya vemaTena walikuwa wamekwisha kugawana uwaziri na ss hvi kwao ingalikuwa ni kupongezana tu, hakika maombi ya watz Mungu aliyasikia na kutupatia kiongozi ambaye kwa sasa watz tunaanza kupata matumaini mapya na hii serikali, cha msingi ni cc kuwafichua wala rushwa ili na yy apate hamasa ya utendaji wake.

Kwa nyakati tofauti Lowassa na viongozi wengine wa chadema wamekuwa wakitoa kauli kuhusu Wafanyabiashara wakubwa , kauli ambazo hapana shaka , endapo Chadema wangefanikiwa kuunda serikali chini ya Edward Lowassa, basi kwenye upande wa kukusanya kodi wafanyabiashara wakubwa wasingeguswa kabisa au kungekuwa na hali kuwanyanyasa wale wafanyabiashara ambao wangeonekana kutokiunga mkono chama hicho.
1. Juzi alikaririwa na vyombo vya habari kutoka Monduli akisema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa maelekezo ya Serikali imekuwa ikiwatoza kodi kubwa Wafanyabiashara kwa sababu waliifadhili Chadema kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Kauli kama hii pia aliitoa jijini Mwanza akiwa kwenye msiba wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema wa mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo.
2. Wakati wa harambee ya CHADEMA iliyofanyika septemba 22 mwaka jana , mwenyekiti wa Chamahicho, Freeman Aikaeli Mbowe alisema kulikuwa na matajiri watano wenye uwezo wa kiuchumi ambao walikuwa tayari kukisaidia kwenye shughuli zake za kampeni lakini hawataki kutajwa majina yao kwa hofu ya kufuatiliwa na vyombo vya dola.
TAFAKURI:
1. Ni wazi kabisa Lowassa angekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asingeweza kabisa kuwabana Wafanyabiashara wakubwa katika swala zima la kukusanya kodi hasa ukizingatia kuwa walikifadhili chama hicho. Aidha dhana ya kwamba wafadhili wa Chadema wananyanyaswa na TRA ni uthibitisho kwamba hizi ni hisia ambazo alifikiria kuwafanyia wale wafanyabiashara ambao wasingejitokeza kukifadhili chama chake na kufikiria kuwa Serikali ya JPM nayo ina mawazo ya kipuuzi kama hayo. MAGUFULI siyo mtu wa visasi kama LOWASSA.
2. Lowassa kusema kwamba siyo suala la kutaja majina ya wafanyabiashara wanaonyanyaswa bali CCM ifanye utafiti(Reseach) ni makosa na pengine labda hajui wakati gani na nani wa kufanya utafiti. Serikali ya CCM ndiyo anayoituhumu kuwanyanyasa wafanyabiasha waliofadhili Chadema. Kwa mantiki hiyo CCM kama mtuhumiwa hawezi kufanya utafiti. LOWASSA na CHADEMA yake ndiyo waathirika na kwa maana hiyo wao ndiyo wanawajibika kufanya utafiti kama wamekurupuka kuyasema haya bila kufanya hivyo au kama wamefanya utafiti na kujiridhisha, wanawajibika kutaja majina hayo ili Umma kuujua ukweli.
3. Kikubwa kabisa. Zama za kukumbatia Wafanyabiashara kwa sababu tu ya ufadhili wao kwa vyama vya siasa zimepitwa na wakati. LOWASSA anapaswa kuona AIBU kutamka maneno kama ufadhili wa wafanyabiashara kwa vyama siasa kwani yanazidi kurutubisha UFisadi wake wa tangu enzi na enzi. Lowassa anataka kutuambia wafanyabiashara wanaonyanyaswa ni akina nani? ROSTAMA AZIZ na kundi lake au wale Wafanyabiashara watano wakubwa kiuchumi ambao Mwenyekiti alisema wanaogopa kutajwa majina yao? AIBU HII.
Lowasa kachanganyikiwa. Kila kick anayoshikilia inabuma mapemaHUYU MZEE ANAANZA KUTUDHALILISHA WANAUKAWA.SOTE KAMA WAPINZANI TUMEKUWA TUNASEMA SERIKALI YA CCM HAIKUSANYI KODI KWA WAKUBWA BALI KWA VIDAGAA.SASA MAGUFURI AMEANZIA JUU BASI KELELE ZIMEANZA.KODI ZIPO KISHERIA NA SHERIA HIZO ZILIPITISHWA NA BUNGE NA YEYE AKIWEMO.SASA KUNAHAJA GANI YA KUPISHA SHERIA KWA MBWEMBWE WAKATI HATUWEZI KUZISIMAMIA.PIA NAJUA UKIBANDIKIWA KODI KUBWA KULIKO UHALISIA KUNAKUKATA RUFAA.TATIZO UNAKUTA MTU ALIKKWEPA SANA MIAKA YA NYUMA KWA HIYO AKIAPEAL ANAGOPA MAKUBWA KUBUMBULUKA