Mtegowanoti
Member
- Oct 25, 2015
- 36
- 27
Katibu wa CCM Taifa, A. Kinana ametangaza kuwa Kikwete atakabidhi Uenyekiti kwa Rais Magufuli mwezi June.
Akili zako hazina tofauti na mbwa kichaainatuhusu nini?
apewe hata rungu la mumeo
hip hip hureeeeeeeee. Utakuwa wakati muafaka wa kuwatumbua liabilities wote walio ndani ya ccm. Wapinzani ni wakati wa kujipatia mnaowafikiria kuwa ni assets. Kaeni mkao wa kula.Katibu wa CCM Taifa, A. Kinana ametangaza kuwa Kikwete atakabidhi Uenyekiti kwa Rais Magufuli mwezi June.