Mbona ujenzi wa flyover ya TAZARA unasuasua?

mtoa mada: ujenzi na pilika pilika unazozihitaji wewe bado sana... mkandarasi hajajenga hata ofisi zake bado
 
Ujenzi umefikia wapi? Wenye picha mzirushe hapa isijekuwa ilikuwa tu sinema ya Ngosha. Leteni hata hizo picha sijui mnaita "mobilization period"...
 
Ni bahati mbaya kwamba vijana wa siku hizi wanakurupuka kujibu bila kufikiri aliyeandika ana maana gani. Ukisoma baadhi ya majibu hapo ni ya kijiweni kabisa. Nia iwe kujadili mambo. Kwa mfani, sio kawaida kabisa jiwe la msingi kuwekwa na kiongozi kabla mradi haujaanza. Jiwe la msingi huendana na ukaguzi wa mradi wenyewe. Rais alitakiwa kuweka jiwe la msingi wakati nguzo zimeanza kusimama.
Kama ulivyosema nina mashaka sana na mradi, kwa ukubwa wake, hiyo siyo spidi kabisa. Muda utatuambia ukweli (nyie mnasema time will tell)
Kuna watu wajinga sana kwenye hii dunia, ila ww umewazidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bahati mbaya kwamba vijana wa siku hizi wanakurupuka kujibu bila kufikiri aliyeandika ana maana gani. Ukisoma baadhi ya majibu hapo ni ya kijiweni kabisa. Nia iwe kujadili mambo. Kwa mfani, sio kawaida kabisa jiwe la msingi kuwekwa na kiongozi kabla mradi haujaanza. Jiwe la msingi huendana na ukaguzi wa mradi wenyewe. Rais alitakiwa kuweka jiwe la msingi wakati nguzo zimeanza kusimama.
Kama ulivyosema nina mashaka sana na mradi, kwa ukubwa wake, hiyo siyo spidi kabisa. Muda utatuambia ukweli (nyie mnasema time will tell)
Kama ulivosema mwenyewe, time will tell, na time imekuumbua.
Mradi ulikamilika kabla ya wakati.
 
Mtoa mada ana point. pamoja na kuwepo na kipindi cha mobilization katika mradi huyu jamaa anatia mashaka, speed aliyoanza nayo ni ndogo, mitambo anayotumia ni chakavu na mingine ina sticker za makampuni ya ndani ikimaanisha kwamba amekodi.
Time will tell ila speed ya jamaa mpaka sasa hairidhishi.
Kazi ilimalizika ndani ya wakati.
We ulichoambulia kuona ni mitambo chakavu, kweli wabongo tuna akili finyu.
 
Ni bahati mbaya kwamba vijana wa siku hizi wanakurupuka kujibu bila kufikiri aliyeandika ana maana gani. Ukisoma baadhi ya majibu hapo ni ya kijiweni kabisa. Nia iwe kujadili mambo. Kwa mfani, sio kawaida kabisa jiwe la msingi kuwekwa na kiongozi kabla mradi haujaanza. Jiwe la msingi huendana na ukaguzi wa mradi wenyewe. Rais alitakiwa kuweka jiwe la msingi wakati nguzo zimeanza kusimama.
Kama ulivyosema nina mashaka sana na mradi, kwa ukubwa wake, hiyo siyo spidi kabisa. Muda utatuambia ukweli (nyie mnasema time will tell)
Muda umetuambiaje?

pole saaana
 
Kuliko weye unaye bwabwaja, mweye akili nani?
Yule aliyemaliza mradi na mitambo "chakavu" au wewe uliyekalia kupiga domo?
Kama ungechangia mada kwa wakati ningekuona na akili. Isitoshe nilisema time will tell na sasa tumeona kwamba jamaa wamemaliza kazi kwa wakati. Wewe shida yako nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ungechangia mada kwa wakati ningekuona na akili. Isitoshe nilisema time will tell na sasa tumeona kwamba jamaa wamemaliza kazi kwa wakati. Wewe shida yako nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Time also tells kuwa wachangiaji wenye domo kama debe tupu, wanakuwa proven wrong in due course.
And you fit perfectly.
 
Having this discussion at the moment is waste of time and energy.
Think whatever suits you ila siku akili zikirudi utaelewa concern ilikuwa nini. Na kwa nini huwa unashauriwa kuchukua hatua kwa dalili yoyote isiyonjema juu ya suala flank.

Bila ya wewe kujua pengine hatua zilichukuliwa baada ya maoni ya wadau.

Sitakuwa na muda wa kukujibu nyumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom