Recent content by Mtazamotu

  1. M

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA

    Toa bei na weka picha please.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Oil ni mineral au sio miniral

    Petroleum (crude oil) is not a mineral. Crude oil is a hydrocarbon. Crude oil's origin come from dead ancient shallow marine microorganisms (diatoms) deposited in an oxygen depleted sedimentary environment which prevents decay and preserves the organism's energy potential that can mature into...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ancient Footprints discovered in Tanzania

    Umri wa hzo nyayo (19,000 yrs uliotajwa) unakinzana na uhalisia kwamba walikuwa wanatembea juu ya ujiuji wa volcano maana katika miaka hyo hakuna mlipuko uliotokea kwenye Oldonyo Lengai kusababisha ujiuji wa moto. Nakubaliana na fikra zao kwamba nyayo hzo zilikuwa kwenye tope litokanalo na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Duka Linauzwa

    Ungeweka namba yako ingependeza sana, nicheck kwenye 0743110398 au 0786024805
  5. M

    JamiiForums Tanzania New TPDC Updates

    Jamani angalieni kiambata hapo ndo waliyotoa jana, sijui kama ndo ya mwisho au kuna fani ambayo haijatoka bado maana website yao haifunguki mpaka mudas huu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wawili Watua Simba

    "Mwenyekiti huyo alikiri kuwa Ally Badru Ally waliyemsajili kutoka Suez Canal ya Misri hakuwapo kwenye mipango yao, lakini kwa sababu alikuwapo tu Dar es Salaam wanaamini kuwa atawasaidia katika ushambuliaji."....... nukuu toka kwa Mwenyekiti wa kamati ya usajili Simba kupitia gazeti la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Buzwagi kahama ajira

    Ongeza na hii pia, mpya kabisa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Road licence

    Mkuu hapo utatakiwa kulipa kilo unusu yaani Road Licence = 100000, fire = 20000, na penalty = 30000, Total = 150000
  9. M

    JamiiForums Tanzania Buzwagi kahama ajira

    Cheki hizo mkuu Kila la kheri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Nina uhakika utakuwa umetumwa ww si bure, na ufie mbali na upuuzi wako! Mfano mzuri umeutoa ww mwenyewe na bado unatetea upuuzi huo, je Wazee wa Africa Mashariki wanahangaikia fao la kujitoa au pension? na je wanachokiadai kitawasaidia kuwa na maisha bora kwenye umri wao kwa sasa? Ndio maana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja/Nyumba - Mwanza

    Nimekutumia ujumbe kwenye email yako tangu asubuhi lakini hujajibu mpaka muda huu, pls check ur inbox!
  12. M

    JamiiForums Tanzania nauza digito camera mpya

    Tusaidie picha kaka (ukizingatia hujasema uko wapi), ili tuione humu kabla hatujaanza kukupigia!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Best paying company in tanzania

    Nina wasiwasi na uelewa wako juu ya mambo unayochangia!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe kero zinazowanyima raha walipa kodi wa Tanzania

    Kuhusu suala la PAYE nadhani hiyo uliyoitoa (14%) haitoi uhalisia, hebu jaribu kucheck hapo kwenye note chini. Suala la msingi hapa pamoja na kupunguza asilimia tajwa kwa kila kiwango pia wanapaswa kupandisha kiwango cha mwisho i.e 720,000/= ili mtu ahesabiwe kuwa high tax payer na kukatwa 30%...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GPS inahitajika haraka

    Nawasalimu wajameni, Naomba mwenye ufahamu ni wapi ndani ya bongo (Dar) naweza kupata GPS (Global Positioning System) anielekeze ninahitaji kupata kadhaa. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom