New TPDC Updates

New TPDC Updates

nimepita kwenda oral ila
nimeamua kurudi kwetu tabora. sina ndugu naishi gest leo siku ya kumi na
sijui hiyo oral ni lini, basi tena sina uwezo wa kuendelea kukaa
mjini

Dah ***
 
Je tuliofanya usaili wa tarehe 10 matokeo wameghairi kuweka au ndio tuendelee kuvuta subira kwa kukaa mji wenye mafuriko?
 
Please mwenye updates za tpdc fani ya procurement mbona imechukua muda mrefu??
 
Guys. Ya tarehe 09 tayari. Sijajua kama yapo kwenye website or ? Friend of mine kanitumia whatsapp snapshot. Let me ask him kayatoa web gani?
 
website ya TPDC haifunguki kwa sasa sijui ni laptop yangu au ndo wanaingiza results zote???
 
website ya TPDC haifunguki kwa sasa sijui ni laptop yangu au ndo wanaingiza results zote???

ni kweli mkuu kwa sasa haifunguki sijui kwa nini. ila kuna mda nilifungua nikayaona yote mpaka ya tar 10 yamewekwa.
 
Back
Top Bottom