Recent content by Mtayarishaji

  1. Mtayarishaji

    Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

    Acha watujasusi tu maana si wameamua kukubali kufundishwa hivyo?. Tupatie na mbinu za kuwashtukia ili ikitokea nikakutana nae namla afu hapati kitu.
  2. Mtayarishaji

    Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

    Ahsante. Hiyo Eye of Aggamato nitaipata wapi? ninaihitaji sana.
  3. Mtayarishaji

    2019_wazo bora la biashara.

    Ahsante sana. Nina hili wazo kwa muda mrefu, sijaamua niidanyie Dar ama Dodoma. Bora umejitokeza.
  4. Mtayarishaji

    Hivi kwanini wanawake wenye akili na heshima hatuolewi?

    Ukishaona huolewi jua wewe ni kiazi.
  5. Mtayarishaji

    Weekend story! BEN 10

    Hongera kwa utunzi uliotukuka.
  6. Mtayarishaji

    Fahamu maajabu yaliyopo ndani yako

    Mkuu. Fanya kama kuiendeleza hivi ili tuzidi kuelimika.
  7. Mtayarishaji

    Ni Ujasusi Au Mapenzi Ya Dhati?

    Siku za hivi karibuni binti yake Rais Donald J Trump wa Marekani ajulikanaye kwa jina la Tiffany Trump amekuwa akionekana sana akiwa karibu na kijana wa Kilebanon ajulikanaye kwa jina la Michael Boulos na ukaribu huo moja kwa moja umetafsiriwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi. Kuna kipindi wawili...
  8. Mtayarishaji

    Barua ya Albert Einstein kumhusu Mungu yauzwa kwenye mnada kwa bei ya $2.9m(£2.3m).

    Kuna vitu naona kama ubongo wangu haujafunguka kuvielewa.
  9. Mtayarishaji

    Choma meli zako zote

    Mwaka 1519 Kamanda mmoja wa kikosi cha Kihispania aliyeitwa Hernan Cortes alienda kukivamia kisiwa cha Veracruz cha nchini Mexico. Alipowasili ufukweni aliamuru askari wote 600 na mabaharia wote washuke kisha akaagiza meli zote 11 zichomwe moto. Kisha akawauliza askari wake, "mnaona nini...
Back
Top Bottom