Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

baada ya story kusogea sana ndo kaanza habari za amarula mbona hakusema mapema kwamba kila episode moja na amarula moja
 
Acheni jazbaaaa leo narudi vipenzi vyanguuu maana mshaanza kunitoa macho, mnatoana wenyewe macho! Jamaniiii! Hii ni burudani tu! Story sio vitaaaa!

Saa 6 na nusu usiku! ( KWA HISANI YA JUMUIYA YA WANAWAKE WA JF)

Jomoni hata Amarula tu mnanuna kabisaa na kususa juu! Wanaume wa Jf mmenishinda tabia!
 
Acheni jazbaaaa leo narudi vipenzi vyanguuu maana mshaanza kunitoa macho, mnatoana wenyewe macho! Jamaniiii! Hii ni burudani tu! Story sio vitaaaa!

Saa 6 na nusu usiku! ( KWA HISANI YA JUMUIYA YA WANAWAKE WA JF)

Jomoni hata Amarula tu mnanuna kabisaa na kususa juu! Wanaume wa Jf mmenishinda tabia!
Hahahahah ilete hata baada ya mwezi,hatuna halaka mama
Usikupe stress mari. Oos lol
 
Acheni jazbaaaa leo narudi vipenzi vyanguuu maana mshaanza kunitoa macho, mnatoana wenyewe macho! Jamaniiii! Hii ni burudani tu! Story sio vitaaaa!

Saa 6 na nusu usiku! ( KWA HISANI YA JUMUIYA YA WANAWAKE WA JF)

Jomoni hata Amarula tu mnanuna kabisaa na kususa juu! Wanaume wa Jf mmenishinda tabia!
Sisi wanawake wa jf tunasema sema su, ukituruhusu tukutumie naona wanaume wanatulostisha tu chenga nyingi
 
Wanaume sisi tuna tabia una minya minya ndizi weeeeeeee afu mda wa kuoa unatafuta biringanya lako moja unalioa na kuliweka ndani! Not that you will be happy or something unaishi kwa majutoooo tu! Ukijiuliza ulifeli wapi? Wenzio walikuzidi wapi? Au umemkosea nini kikubwa maulana! You just live in regrets!

Maisha ni mchezo mchafuuu! Mimi baba yangu alikuwa anaimba kwenye ma bendi! Nilimuona zobaaa sanaaaa! Nikawaza wakati wenzie wanakuwa wakurugenzi vitambi meneja yeye kweli akaona kuimba imba ndo kazi ya kufanya? I never got it!

Nilivokuwa mdogo niliwaza kwamba nikiwa mkubwa nitakuwa na furaha sanaa! Sikutaka kufurahi sana udogoni maana furaha yangu niliiweka kiporo for nikiwa mkubwa! Wakubwa wanafaidi! Nilivokuwa mkubwa nikawaza nikipata pesaaaa mimi baaaaaaassss! Matatizo yangu yote yataisha! Nikizikamata hawana bahati! Yaani nilijiweka kiporo siku nikija kuzipata! Ujana wangu wooote siku enjoy nilikuwa nawaza tu nazipatajeee! Furaha nikaiweka pending mpaka nizikamate!

Then i met Kyle! I could have been happy ila badoooo! Ndp nikatamani kuzikamata kuliko chochote duniani! Nadhani mnajua nilichungulia kaburi mara 2 katika hustle za kujaribu kuzipata! Some how i knew my happiness was connected to me being rich and having lots and lots of money!

The minute i made decision to undercut Ghost, is the minute i chose to get rich or die trying! Aiseee ile ni ku ki beep kifo! Nikahama kwa Ghost kwenda kwa Cookie, Cookie is a nice person! But she was not going to fulfill my dreams! Boss ni boss tu, na hakuna hata boss mmoja anaetaka mfanyakazi amzidi na aende mbele zaidi yake!

Nikiwa kwa Cookie i got Kyle back but she was changed! Sio yule yule wa zamani! I could tell she was faking it! Na kilichoniuma sanaa sanaaa ni kwamba ana!shobokea Ghost sababu ya pesa! She waa mistreating me because Ghost had money! Hakuna kitu kinatuboa wanaume kama hiki! Kinakeraaaaa!

Mwanzo sikuchukia,i wanted us to talk and discuss! Ofcourse baada ya matatizo na nini nilitegemea changamoto! Ila nikajua upendo wa kweli unaweza kuzivuka hizi changamoto! Ndo maana i wanted us to talk tujue tatizo liko wapi tulisolve pamoja! Ila wapiiii! Mwanamke muongo sijawahi kuona! Kwanza anabisha hamna tatizo!

Nikamchana live unampenda Ghost! Akakataa katu katu! Tena akawa mkali sanaa! Mi nikamuachia tu Mungu! Kama mwanamke ni wa kwangu basi atanipa yeye! Ugomvi ukawa haukauki ndani! Mkali kama pili pili! Ananifokea hata vitu vidogo vidogo! Nikawa namkeraaaa! Nikavumiliaaa! Mimi si ndp mjinga nimependa!

Sasa stress zinahitaji diversification! Kile kitoto cha Cookie nikawa najipigia! Mechi tu za kirafiki! She was an addict and bored and i was bored too! So tunapigana miti! Kyle akaanza ushoga na Mjeda every single day they go out! Mtoto anakuja kuchukua unga! Kama tupo kwenye mood tunateleza!

Siku ya sikukarudi ghafla! Afu katubamba live! Ndo nilihakikisha hanipe di tena! Navomjua tifuuu lake mapanga yangehusika! Kama angekuwa ananipenda kama kipindi kile pasingetoshaaa! Ila alivomkuta kamtoa tu yule mtoto, anamwambia kafie huko na unga wako nikikupiga ngumi moja tu unakata roho unirudishe jela aaaa subutuuuu!

Mimi hakuniuliza kitu kabisaa! Na mimi nikakosa cha kusema kwa kweli! Nasemaje ndugu wasomaji! Zilipita siku 3 hatuongei! Tunalala chumba kimoja! Akaniambia hama chumba nikasema sihami hama wewe! Akasema mi ndo nimefumania nahamajekwa mfano? Basi ikawa hivp hivo!

Siku ya nne nikaja kujisemesha yule msagaji haiwezi kuhesabika kama goal ile ni offside tu! Akasema hio moja bila lazima alipe! Nilikasirikaaa ! Sijui nilikasirika nini! Nikamwambia sawa basi na mtu yoyote sio Ghost! Akaniuliza mimi nilikupangia ulale na nani? Nikase!a hapana! Akasema hio moja bila nakudai fumanizo moja full stop!

Nilimtafakari mwanamke gani anadai fumanizi, sikupata picha kabisaa! Nikaona kweli Hans nimepatikana! Wiki halikuisha akasema tukapige picha za familia, na dogo wetu! Tulidamshi kama sijafumaniwa vile! Ulevi ikawa ndo kawaida yake! Ukimuuliza anatia mbona wewe unapangusa unga mi sikuingiliii? Hizo stimu zako, na mimi ulevi ndo stimu zangu! Nikamkataza kuwa na mjeda! Akasema mi nakupangia marafiki? Kafe mbele! Mjeda ndo shoga angu! Badala unionee hurumaaa nimemzika shoga angu juzi nimepata shoga mpya unaleta compeee!

Mjeda sikumpenda tangu siku ya kwanza namuona! Alianza kuniletea shobo! Ananichukulia poa kama katoto! Maana mwanzo kabisaa anataka nimsalimie shikamoo! Na comand comand zake za kijeshi! Nikasema huyu lazima nimtombe na nitamtomba vizuriiiii tuheshimiane! Nilimuona maji mara mojaaa tu!

Baada ya fumanizi langu akawa analeta choko choko kwa Kyle kashikia bangokweli kweli aniache! Mpaka nikahisi ana mambo ya Cookie! Tunaelewana na Kyle akitoka kwa mjeda kesi inaanzishwa upyaa mjeda kasema! Maninaaaa kweli kweli! Nikasema anachokitaka nitampa!

Nikampigia simu, ana shobokaaa! Nikamwambia tuonane bar uje peke yako! Kaja anauliza nini umeniitia? Namwambia nimekuelewa sasa? Ananijibu nina bwana wangu hata kama yupo jela nina bwana! Mxiuuuuuu! Nikamwambia mi nilikuona mwanamke wa mjini shangingi kumbe mshamba tuuu! Mi nimekwambia natafuta mke? Nimekuelewa! Jiongeze! Akasonya Mxiuuuuu! Kiumri mdogo ila mkubwa wa mambo! Uta iweza mieee? Nikamwambia nishalipia chumba twende tukapimane ubavu!

Akahamakiii! Mngese malaya wewe mwenye PHD, unalipiaje chumba hujanitongoza nikakubali! Nampanga mimi najua wewe mtoto wa mjini unaelewa hizi vitu ni starehe tu, tumepewa bure tupeane bure! Akasonyaaa! Mxiuuuui! Kumbe unanikopa juuu? Nikamwambia sasa mi nitakupa nini kwa mfano? Twende nikakupige machine tukikomeshe kitanda! Ujana ndo huu! Unataka ukafanyane uzeeni?

Akauliza Kyle akijua? Nikamuuliza utamwambia wewe? Akarikisa kichwa kukataa! Nikabeba paba lake na konyagi na chupa yangu ya soda kutangulia navyo chumbani akanifata kitaratibu! Analalamika! Guest gani hii chafu chafu ina kunguni mi silali!

Nikamtulizaaa na kumwambia acha uboyaa ukitaka usifumaniwe milele wewe pendelea hizi guest za uswaziii! Hata akikuona mtu anajibishia sio wewe! Huwezi kuwa wewe! Tulia hapa tupeane mchezoooo! Namjua mambaaa sana yule! Nilitumia mpiraaa! Nae mtaalamu hizo nyota jeshini hajazipata kibahati! Na mimi nikawa nipo kwa lengo la kumfunga mdomo na kurudisha heshima yangu kwa mwanamke wangu!

Nimebiringishana nae kiroho ngumu mpaka nikamtoa knock out! Anasema tuwe tunapiga hizi mechi mara kwa mara! Nikamwambia acha choko choko kwa Kyle kama unataka hizi mechi! Tukaagana pale hata nauli sikutoa! Baaasi tangia hapo sikusikia choko choko yoyote tena!

Mambo na Kyle yakawa sio mazuri! Na baada ya fumanizi nikawa sina sauti tena kabisaaa! Ila maisha changamoto sanaa! Wanawake wa nje nawavuruga sanaa! Ila kwa Kyle sina sauti kabisaaa! Nachoshukuru akilewa sio mchoyo! Kama pombe inakimbilia chini! Inakuwa oya oya! Japo kama hunywi kulala na mtu anae kunywa kazi sanaa! Ila mimi niliona poa! Tena na enjoy na nakojoa mpaka basi! Moyo mpumbavu sanaa!

Najua aliachiwa mali na Linda sema kukabidhiwa ilichukua mda kidogo process za kisheria! Akazikamilisha! Kwa zamani alivokuwa angeniambia mpaka sh 10 aliopewa! Sahivi aaaah subutuuuu! Anazunguka zunguka tu hasemi!

Nilipo mfumabia na Ghost ndo nikajenga uadui na pesa jumla jumla! Nikajua mimi adiu yangu ni pesa! Kwanza Ghost ni mzee! Gym tu ndo inamsaidia! Afu niliwakuta uchi hana maajabu yoyote! Afu watu wanasema pia mngese! Kimuonekano hanipati! Nawaapia wasomaji hakuna Ghost anachonizidi mimi zaidi ya pesa tu! Kubabake nikajiapiza pesa lazima nizipate kwa gharama yoyote ile! Kwenda kwa sangoma niko tayari! Kwenda kujiweka bond pakistan niko tayari! Kwenda popote nipo tayari! Hata kwenda brazil kufungwa jela nipate connection za shamba nipo tayariiii!

Sitaki kusikia la mhadhini, wala mnadi swala, wala mpiga kengele wa kanisa nachotaka mimi ni pesa tu! Hata kugawa maisha kwa kuku nilikuwa tayari! Mradi tu nizipate pesa niikomboe furaha yangu iliokuwa jela!

Kyle aliomba msamaha sanaa! Sanaaa! Mpaka akatia huruma! Ila nilishindwa kudinda mbele yake tena! Bora uambiwe adui yako amemla mkeo uoneshwe hata video ila sio kuona live! Niliathirika kisaikolojia! Nikimuona uchi namuona kama kainamishwa na Ghost tu! Nilishindwa! Alijitahidi kunibembelezea papa ila wapi! Mambo yalishindikana kabisaa!

Nikiwa nasaka connection za shamba Mungu hamtupi mja wake jumla jumla ikaingia whatsup namba ya uturuki! Ikaniambia wanajua mimi dealer, wanataka kuleta unga mwingi sanaaa toka turkey niwe partner wao! Nilistuka kwanzaa! Nikawaza huyu atakuwa ghost ananichezesha makida! Kama sio basi interpol ila mimi mbona kasamaki kadogo mnooo kutafutwa na interpol! Nikasema hapa nakubali potelea potee! Sina cha kupoteza! Kwanza kama mwamake washanitombea live nikashuhudia kumkaza mwenyewe tena siwezi nimekuwa kama shoga tu mbele zake bora nikafe kwenye dili za unga tu!

Nikakubali! Wakaniita uturuki! Nikaenda kufanya nao kikao! Wangese wanaishi! Nyumba ina eneo heka mia! Nikajua hii mipapa kweli kweli! Na kweli unga qanaotaka kuingiza sio wa kupima! Ni magunia kwa magunia! Ghost hauzi unga anauza kibaba cha unga kwa hawa! Wananiambia budget ipo!

Akaniambia bongo tuko wawili na mtu wa pili ndo kani recommend mie, nikawaza labda Cookie! Au kaka yake,au Ghost sikupata jibu! Na haitakiwi tujuane kabisaa! Tutakuwa tunawasiliana tu! Nikakubali! Niliwaambia nipo tayari kwa lolote! Wakaniambia shipment ya kwanza inakuja mwezi ujao! Inafika Mombasa na meli, nifanye makarateka ya kuingiza sokoni! Wanaanza na kilo 800 nitapandishiwa! Kilo mia nane sio mchezo fikiria gunia moja la maindi kilo 120 afu unga kilo 800!

Nimerudi nikakuta Kyle kaokoka! Kahama nyumbani! Nikajaribu kumrejesha akasema hawezi kuishi na mimi kaka na dada! Mapenzi yashaisha ndo maana sidindi tena kwake! Anajua nadinda kwa wnawake wengine maana alimtuma mjeda anitest akasema niko fresh! Damn! Nilimsihi we canbget paat thrpugh this! Akasema hapana! Karudi kwa muumba!

Ghafla Janet akawa anahaha kuwa na Ghost! Mmmmmh! Ata!uwezaa ghost? Mi bado naamini ghost shoga! Hakai na mwanamke mda kabisaa! Walidate wiki 2 tu! Alimshindwa ghost! Alinawa mwenyewe! Akajiapiza anataka kumpoteza ghost! Nikamwamvia basi tumekutana! Mi mwenyewe naitaka organisation yake! Akaniambia nipange!

Nikampanga kuna zigo linakuja! Likifika tunavunja bei ya cocaine mjini hapa! Ghost hatoweza ku survive competition asilaniii! Na wothout his business Ghost is ball less like any other man! And vulnerable! Ila itabidi tutumie boti za jeshi na gari za jeshi kusafirisha cause hazikaguliwi! Plus be my partner i give you 40% ownership!

Jane una hela ila pesa ya mbogaaa! Maybe na kununua mboo mbili 3 mjini nothing serious! Huna pesa ya kukaa Maldives mwaka bila kuwaza! Huna pesa ya kukaa Ibiza miezi mitatu ! Huna pesa ya kumita R Kelly King of RNB akupige miti wiki nzima! Can you imagine with that kind ofmoney how much dik will you be able to afford? Tamaa ikamwingiaaa!

Nikamwambia nitafutie viongozi wa jeshi muhimu wenye tamaa! Tuingize mzigo! Mchawi bei! Tukivunja bei hatoki mtu! Akawa amejaaa! Akaita kiko usiku huyo boss kubwa wa jeshi akataka share asilimia 10! Nikakubali! Wakaseti mambo! Tena akatoa pesa ya kuandaa where house! Zee lina tamaa hatari! Linataka kumiliki yatch! Linase!a nyie ndo vijana mtaoleta mabadiliko nchi hii! Jane nakuaminia jembe langu hizi ndo issue za kunishirikisha!

Zigo likaingia ! Jeshi ndo mamba yao! Mpaka store hakuna traffic wala upuuzi gani! Hazikaguliwi zile gari! Kama nilivopanga nikavunja bei! Demand yenyewe ikaja! Jina likafika Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Congo! Sasa unga hatuuzi physical Tunauza online tu! Unaweka oda online, unalipia afu tunakufanyia delivery! Unatuambia ulipo tunakujulisha pakage yako imefika labda kanisani mara nyingi au msikitini kachukue! Tunatumia package za DHL na FEDEX!

Kwa hii online model tulipata wateja mnoo mnoo! A list clients! Hawajui sisi nani na sisi hatuna haja ya kujua wewe nani! Uko nje tunapeleka na gari za jeshi tu! Boda to boda hazikaguliwi! Mwezi tu unga wote umeisha!

Partner wangu wa bongo tunachat! Yuko smart! Ndo alishauri connection ya jeshi! Akaniambia usiridhike mzigo unaofata tunaletewa mara 10 ya ule uliokuja jipange vizuri! Tulipataa pesaaa! Mpaka mzee wa jeshi akasema sasa nimeshika peaa yote hii nina wasiwasi siku yangu imekaribia! Akanunua Yatch 3 basi tu! Alishindwa kuchagua nikamshauri chukua zote 3! Nikamwambia hapa bado hujapata pesa! Akashauri kabisaa IGP na mkuu wa majeshi wote wapewe fungu lao mapemaa mnoo! Sio kesi!

Website ikawa kubwa sanaa! Na bei tulivu ja kweli mpaka watu wengine wakawa hawaoni sababu ya kuagiza nje! Wakati beiile ile na ubora wetu uko juu! Wakawa wanachukua kwetu jumla!

Jane finally bought Sam his freedom! Alihukumiwa kunyongwa mahakamani kabisaa! Akapunguziwa adhabu mpaka kifungo cha maisha! Ila Jane ndo akamchomoa gerezani akamtafutia uraia wa UK, passport mpya na identity mpyaa! Kama mtu mwingine tena sio Sam!

At this point i have ran Ghost out of business and Cookie out of business! Cookie akaja kuniomba kazi kwenye operation zangu! Nikamkatalia cause namjua ni nyokaaa! Nikamwambia for old times sake nitakuwa nampa unga bure auze achukue faida aniletee mbegu! Akakubali! She lives a simple life!

Kyle ndo mama wa kanisaa! This time anakuwa controlled na Mozah! Kama remote! Nilihitaji kuwagombanisha but ili niwagombanishe i needed something big! Very big! Ile ya kuleta uhasama bin uhasamaaa! Vita vita! Yaani biff ambalo kila mmoja atalibeba kwenda nalo kaburini! So sikutakiwa kwenda fastaaa! I needed something strong and versatile!

Nikaenda siku moja kumpima tu ubavu Mozah! Nimeshika kitita cha $10,000 nikamwambia nitabirie! Akapagawa! Akaniambia Mbingu zinasema nanmimi! Mwakani mwaka kama huu utamuoa Kyle! I knew she was fraud! Hana upako wowote! Alishamtabiria ghost hivo na aliniambia mwenyewe nilienda bara kwakeikapita story ya Kyle! Nikaona kama mbingu hazipo upande wake kummaliza ni kazi ndogo sanaaa!

Nikaenda kwa mtaalamu mwanga mwanga kweli, mshirikina mshirikina kweli, mchawi mchawi haswaa! Nikampa kazi moja tu! Atume mapepo yake anyoyaamini yeye hayatomuangusha yamwambie mlokole afunge kanisa lile! Akaniambia kazi ndogo sana! Kweli in no time kikanisa kikafungwa! Mozah alichanganyikiwa kabisaaa!

Nikamuomba Kyle date! Akakubali! Kirahisiii mnooo! While all this time she didi shut me out! Nikaenda nawaza sijui nitadinda!? Nispodinda mimi leo nakufyekelea mbali wewe dudu usinijaribu kabisaa! I took her to dinner! Nikamchomekea nichukue chumba? Akauliza unadinda? Mi mambo ya kutiwa madole sitaki! Kama naandikiwa dhambi niandikiwe ya uhakika! Nikasema nisidinde kivipi! Akasema chukua!

Akaniuliza yule mwanamke wako umemwambia unaenda wapi? Nikamwambia nimemwambia nakuja kulala na wewe! Akauliza akasemaje? Nikamwambia kwani anatakiwa aseme? Hataki ajikatae! Akasonyaaa! Nikamwambia Kyle wewe ndp umesababisha mimi niwe na wanawake turudiane nipe masaa nafukuzia mbali viforokokwinyo wote!

Akaniuliza kwanini umetuma mapepo kwa Mlokole yamlaghai afunge kanisa? Nikastukaa kajuajeee? Akaniambia sasa yule mganga ulieenda akafanikisha hio kazi pesa uliompatia hii hapa mara 2 yake mpatie tena ayatume yale yale sitaki atume mengine yamhadae afungue lile kanisa upyaaa! Nilibakia kimya ndugu msomaji! Akamalizia nakupa wiki moja! Nataka jumapili niende kanisabi kwangu kusali chini ya mchungaji wangu mlokole! Kaa mbali na kanisa langu! Akachukua pochi yake na kutoka chumbani!

ITAENDELEA!
 
Sisi wanawake wa jf tunasema sema su, ukituruhusu tukutumie naona wanaume wanatulostisha tu chenga nyingi

Aseme suu tumfurahishe. Mapedejee wetu wa JF wa enzi zile naona last seen zao january, Febr, wengine 2017 tafrani tu. Wanatunyima uhondo tuwashtue huko WhatsApp warudi humu.
 
Aseme suu tumfurahishe. Mapedejee wetu wa JF wa enzi zile naona last seen zao january, Febr, wengine 2017 tafrani tu. Wanatunyima uhondo tuwashtue huko WhatsApp warudi humu.
Hahaha yani wahenga jf wapo busy siku hizi tunapigana vikumbo na marioo tu lol
 
Kyle anazingua balaa..bure kabisa. Yani Kyle majanga mwanzo mwisho kutokana na maamuzi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom