Mnalipa nyiynyi ki vipi? Kama ni Kodi TRA Wanakusanya kama kawaida zanzibar, Mahoteli yote ya Kitalii Zanzibar wakusanyaji Kodi ni wao. Sasa hizi kodi zetu miunazipeleka wapi?
Wewe unajua BOT ililianzishwaje? sasa nakuueleza. Wakati wa East Africa Community Zanzibar ilikuwa mwanchama na Tanganyika Pia. Wakati ilipovunjika ndipo ulipoanzishwa Muungano. Pesa zilizokuwepo kwenye Benki ya East Afrika ziligawiwa kwa wanachama wote na Zanziba ilipata zake na Tanganyika...
Tuseme Sawa Zanziba inapewa mao wa 4,5%, lakini katika Kuanzishwa Benki yenyewe (BOT) Zanzibar ilitowa Hisa ya 22% ni nyaraka zipo. Sasa Nania anyenyonwa?
Sasa kama hayo unayosema ni ya kweli, kwanza ifufuke hio Tanganyika. Halafu tuweke wazi matumizi na Mapato ya Muungano, ya Zanzibar na Ya Tanganyika ni yepi. Hapo ndio utajuilikana ukweli
Ilipoanzishwa BOT - Pesa za Zanzibar zilizokuweko East Africa Community zilichukuliwa zikaanzishiwa hio BOT na Mpaka leo Zanzibar haipati mgawo wowote kutoka BOT- Nafikiri tungelianzia hapo na Tukaweka wazi kati ya Zanzibar na Tanganyika share zilikuwaje?
Kwanza Civil Engineer yeye hatakiwi kuchora, Mchoraji ni Profession mbali, Kama Engineer unatakiwa ujuwe AutoCad, kwani Software nyingi za kuesign siku unaweza kuchukuwa infomation nyingi direct kutoka kwenye Autocad. Siku hizi kuna BIM . Model inakuwa Moja, lakini Archtecture, Engineer...
Wazungu ni sawa na Waswahili kila mmoja na tabia zake, inategemea na huyo mwanamkewako ana Tabia gani. Utakavyomuhandle Gongo movie star, ni tofauti na mwankhe kutoka kijijini
Tatizo liko Palepale, nyinyi kuiuwa Tanganyika yene kiujanja na nyinyi kujifanya ndio Tanzania, Kutokana na katiba ya Tanzania , Mzanzibari anayo haki ya kumiliki ardhi Tanzania Bara, kwani na yeye ni Mtanzania. Lakini mtanzania Bara (mTanganyika) yeye hawezi kumiliki Zanzibar kwani yeye sio...
Nchi zote haziko hivyo, tuchukulie Ujerumani ambao kwa Pato wanatupita kwa kila kitu, mbunge analipwa 10,012.89 Euro kwa mwezi na Kanzela analipwa 351,552 Euro kwa mwaka ambayo ni sawa na29,296€ kwa mwezi. Hawa wote wanalipa nyumba kwa Pesa Zao, gari wanayotupia wanapewa leasing, maana yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.