Autocad : Autocad :kwa Civil Engineers karibuni tujadili

Autocad : Autocad :kwa Civil Engineers karibuni tujadili

Ni kweli hapo nimeongea kwa watu wa Civil ila ruksa kwa watu wa field zingine nao kuweka mchango wao hapa as long as wanazitumia hizo program... Upepo karibu tupe uzoefu wako!!

Thank you nguzo1 !! Siko kwenye hiyo level bado, matumizi ya auto ni kwa kusoma, ila soon enough ntaanza ku practice!!

BTW nimependa huu uzi..
 
Kuna software nyungine inaitwa tecla structure ni moja ya software bora duniani kwa kudesign hta kufanya detailing.
 
Hiyo sofi + niliwahi kuisikia ila sijaitumia kabisa nitaifanyia kazi niijue vizuri na vip kuhusu AchCAD?? ina umuhimu mkubwa kwa Civil Engineer?? Maana naona kuna baadhi ya watu wanaitumia kuchora kwa sababu ni rahisi kutumia.
ArchiCAD simplifying ya baadhi ya michoro kwa wale wanaotumia AutoCAD katika kuchora michoro ya ya 2D...wengi hutumia AutoCAD katika details na plan (2D) na kisha huimport kwenye ArchiCAD kwajili ya urahisi wa kupata elevations....roofing ...3D view kwakutumia ArchiCad ni rahisi kupata muonekano....Ingawa AutoCAD nayo inafanya hayo yote lakini inakupasa uwe unajua command nyingi ( exclude AutoCad Architecture)
 
uzi umepoa wahandisi nguzo1 CHAZA wadogo zenu tulikuwa tunajiandaa kujifunza

Ni kweli mkuu uzi umepoa hata mm nilkua nausubir kwa hamu wahandisi wafunguke especially kwenye structural detailing.
Mm natumia zaidi auto cad 2007 kufanya structural detailing lakini naona ipo too manual.. Kuna vtu vinaniwia vigumu sana kufanya.. Ningeomba wahandisi CHAZA mnisaidie ni programme gani nzuri ningeweza kuitumia kufanya detailing.
 
Last edited by a moderator:
Tuache wivu jaman...hili ni jukwaa la elimu na yuko sahihi, Tubadilike tuache majungu..fnguka Ndugu kuhusu utaalamu wako na hayo ndio MABADILIKO ya kweli sio yale ya uswahilini.
Mm nina shida upande wa Arc GIS ninatumia online ambayo ni free so wakati na add layer kwa ku-upload file nakuta format haziendani na zilizoko kwenye pc yangu..so naomba kujua nifanyaje ili niweze kutumia au nipate uzoefu wa kudownload free software itakayofanya kazi kwenye PC zetu hizi za kawaida



Tumia pirate sw at your own risk though

www.thepiratebay.org
 
Uko sawa mtambwe autocad ni kwa ajili ya kuchora ila structural analysis tunatumia iyo Roboti au Masters series. Je wewe umekutana na changamoto gani kwenye kuzitumia? na vile vile kuna umuhimu wa Civil Engineer kujua na kutumia ArchCad kwenye kuchora? ... tupe uzoefu wako.
Kwanza Civil Engineer yeye hatakiwi kuchora, Mchoraji ni Profession mbali, Kama Engineer unatakiwa ujuwe AutoCad, kwani Software nyingi za kuesign siku unaweza kuchukuwa infomation nyingi direct kutoka kwenye Autocad. Siku hizi kuna BIM . Model inakuwa Moja, lakini Archtecture, Engineer, Draftsman , Electrical Engineer, Plumber wot wanatumia Model moja
 
Back
Top Bottom