Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 299
- 311
Habr gan wanajamvi
Moja kwa moja ktk mada,mdau yeyote ambae amewahi kuwa na urafiki na binti wa kizungu,naomba experience sababu wao tumetofautiana utamaduni na mamb mengn mengi.
Msaada huo naomb uwe juu ya mamb yafuatayo;
1.Namna ya kumhandle
2.Namn ya kuzunguza nae
3.wakt gn wa kuzunguza nae
4.Mamb gn hupendelea kuzungumzia