Wakuu,nna suala kidogo mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa kwenye ajira taasisi X na tumeshapeleka barua za utambulisho kwa mwajiri zaid ya wiki mbili zilizopita tunasubiri kupangiwa vituo vya kazi.Je kwa kipindi hiki ninaweza kuhesabiwa km mwajiriwa na kuingiziwa maokoto mwisho wa mwezi au...
Hpn,mkuu! Nmekaa mtaani tngu 2014 nlpomaliza Bachelor degree yangu. Hii habari ya chuo nnayozungumzia ni kwamba kuna diploma nyingne ndo nlisoma 2020-2022,ndo nkapata kulamba asali...ila nlisota 2014-202
Hpn,mkuu! Nmekaa mtaani tngu 2014 nlpomaliza Bachelor degree yangu. Hii habari ya chuo nnayozungumzia ni kwamba kuna diploma nyingne ndo nlisoma 2020-2022,ndo nkapata kulamba asali...ila nlisota 2014-2020
Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza...
Wakuu,masada tafadhali kwa waliowahi kufanya usaili wa kada ya Station Master, Shirika Reli (TRC) ni aina gani ya maswali huwa kuna uwezekano wa kutoka...Naomba nipate mwanga tafadhali! Thanks in advance
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.