HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu samahani..
Naomba mnisaidie ushauri.
Inaeza ikawa so mahala pake..
Niko chuo first year
Nachukua bachelor ya human resource
Ila sijapata mkopo
Me ni fresh toka advance.

Sasa nilikuwa nalipiwa kwa michango ya ndugu...ila naona kama inawawia vigumu.
Maana ada,chakula,malazi na mavazi juu ni wao wananisaidia 100%.
Kuna watu wanashauri nirudi nikasome diploma ya misitu.
Sababu...
1.chuo cha misitu kiko karibu na nyumbani so nitakuwa natokea nyumbani kuelekea chuo hivyo basi kupunguza kost za malazi..chakula
Wao watapambania ada.
2.wanahisi course hii ya human resources management haina soko mjini
Kwao itakuwa wame-waiste resources zao afu at the end nirudi kitaa kuhustle tena.

Umri
20 years

Elimu yangu
Form 4
Form 6

Ujuzi
Driving + licence daraja A A2 D
JKT 839

Post za polisi magereza uhamiaji zote huwa na jaribu kuomba....wanaopitia zile nyuzi tunakutana...

Wakubwa naomba mnishauri kushift kwenda io diploma ya misitu ntakuwa nimefanya chaguo sahihi?
Mdogo wangu usisome tu course kwa sababu ya umbali wa home bali soma kozi kwa kuangalia mapendekezo yako, soko la iyo kozi. iyo course ya misitu itakulimit sehemu moja tu kama watu wa TRA. fanya uchunguzi usome course ambayo itakuwezesha kuomba kazi sehemu mbali mbali hasa kwenye ajira portal.
 
Kada yangu bado watu 31....anyways my expectations went beyond low now...niko tu hapo yani...

Hongereni sana nyote mnaozid kulamba asali.

Wengine tupunguze expectations zitatumalisaaaa woooiii...tuzidishe maombi tuzidi kupambana.

It aint over until IT'S OVER si ndio?....
[emoji16][emoji16][emoji16] samahani mkuu unamaanisha uzidishe maombi ili iweje?

Yani kutokana na maombi yako uliyozidisha ipelekee wengine kukosa alafu upate wewe au hayo maombi yanakuwa ya kipi hasa?
 
Mungu bado ni mwema, usijali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] samahani mkuu unamaanisha uzidishe maombi ili iweje?

Yani kutokana na maombi yako uliyozidisha ipelekee wengine kukosa alafu upate wewe au hayo maombi yanakuwa ya kipi hasa?
Ndo ule msemo wa ya Mungu tumuachie Mungu, na ya Kaisari tumuachie Kaisari
 
Mdogo wangu usisome tu course kwa sababu ya umbali wa home bali soma kozi kwa kuangalia mapendekezo yako, soko la iyo kozi. iyo course ya misitu itakulimit sehemu moja tu kama watu wa TRA. fanya uchunguzi usome course ambayo itakuwezesha kuomba kazi sehemu mbali mbali hasa kwenye ajira portal.
Nimekuelewa mkuu
 
Nimefanya hvyo mkuu na wao ndò walipendekeza
Mdg angu komaa na io HR miaka mitatu ni michache sana usiuwaze huo msoto na kukosa boom utakuja ona faida yake ukipata ajira though i encourage u, uendelee apply madirisha mengine..HR pia c mbaya kama unavyodhan na chuon hakunaga coz mbaya/nzuri sahv zote znasumbua ajira.. Sahv upo sec semester miez miwil tu mwaka umeumalza..#komaa na HR
 
[emoji16][emoji16][emoji16] samahani mkuu unamaanisha uzidishe maombi ili iweje?

Yani kutokana na maombi yako uliyozidisha ipelekee wengine kukosa alafu upate wewe au hayo maombi yanakuwa ya kipi hasa?
Sala na maombi ndio kila kitu Mungu yeye aiona njia yako hata ya kizazi cha tatu, kuna mtu amewekwa makusudi apite katika joto lakini baadae atafurahi uvumilivu ndio unahitajika, alipangalo Mungu hakuna awezaye kupangua. Utashangaa PSRS wanampa asli wenyewe bila kujielewa😁😁
 
🙏🙏
 
Mdg angu komaa na io HR miaka mitatu ni michache sana usiuwaze huo msoto na kukosa boom utakuja ona faida yake ukipata ajira though i encourage u, uendelee apply madirisha mengine..HR pia c mbaya kama unavyodhan na chuon hakunaga coz mbaya/nzuri sahv zote znasumbua ajira.. Sahv upo sec semester miez miwil tu mwaka umeumalza..#komaa na HR
Nashukuru🙏mkuu...encouragement kubwa sana
✅noted
 
Sala na maombi ndio kila kitu Mungu yeye aiona njia yako hata ya kizazi cha tatu, kuna mtu amewekwa makusudi apite katika joto lakini baadae atafurahi uvumilivu ndio unahitajika, alipangalo Mungu hakuna awezaye kupangua. Utashangaa PSRS wanampa asli wenyewe bila kujielewa[emoji16][emoji16]
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom