HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mzee narudia tena nina experience na hii issue zaidi ya watu watatu ninaowafahamu wapo kazini na wanapata mikwanja yao fresh tu, wenye scenario kama yangu.

Majina mawili kwenye vyeti ambayo yapo sawa kimpangilio+spelling na yale ya Nida, japokuwa kwenye Nida limeongezeka la tatu hakuna tatizo hapo
Mimi pia Nina case kama hiyo, academically Nina Majina mawili kwenye vyeti vyote. Nida likaongezeka la 3. Nilipopata kazi serikalini february mwaka huu haikuhitajika deedpoll yoyote na sijawahi kuambiwa hilo. Malipo napata kama kawaida.
 
Mzee narudia tena nina experience na hii issue zaidi ya watu watatu ninaowafahamu wapo kazini na wanapata mikwanja yao fresh tu, wenye scenario kama yangu.

Majina mawili kwenye vyeti ambayo yapo sawa kimpangilio+spelling na yale ya Nida, japokuwa kwenye Nida limeongezeka la tatu hakuna tatizo hapo
Mimi nina case kama hiyo vyeti vina majina mawili nida majina 3,jina la 3 halipo hata kwenye cheti cha kuazaliwa kuashiria pengine ni la ukoo .

Nilichukua affirdavity na kazini sikudaiwaga chichote zaidi ya kufanyiwa uhakiki wa ana kwa ana necta mwezi hu nakula mshahara wangu wa 5 bila tabu
 
Maybe maana mi majina mawili yapo form 4 pekee,pengine pote matatu,na nilifika fika oral,Ila kwa tafadhari tafuta avidavit
Kwa mfano kwenye vyeti vyako vyote vya taaluma vinasomeka AL JOHN ila kwenye nida+cheti Cha kuzaliwa vinasomeka AL JOHN SON Hapo hakuna tatizo, ilo jina la tatu ni laukoo sio watu wote wanalitumia kwenye vyeti vya taaluma.

Ila kama mpangalio haupo hivyo au Kuna herufi imemiss apo tafuta affidavit mapema mzee.
Asanteni wakuu ngoja niyafanyie mliyoongea
 
Wakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.

Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.

Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.

Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.

Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.

ULUMBI
Hongera sana comrade,
 
Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Kuna funzo apa.
Ukipata kitu kwa kuhenyeka haimaniishi wote watakipata icho ktu kwa kuteseka kama wew. Kila mtu na bahati yake.
Una bahati sana comrade. Hongera pia
 
Wakuu kwa watu walichaguliwa written interview, kuna haja ya kuwa na deed pool?? kama majina ya vyeti vya taaluma ni mawili lakini cheti Cha kuzaliwa na NIDA ni matatu.
Ondoa pressure zamani vyeti vya taaluma vilikuwa na majina mawili tu hakikisha hayo mawili yafanane na kwenye hivyo vingine ambavyo vina majina matatu Mimi nilienda hivyo hivyo na nikalamba asali
 
Haina haja hiyo mzee naongea hivyo kulingana na experience yangu, maana nina majina mawili kwenye vyeti vyangu vyote vya taaluma ila matatu kwa Nida + cheti Cha kuzaliwa.
Tangu 2019 nafanya interview bila shida yoyote
Hata mimi ni hivyo hivyo form 4 , form 6, hadi chuo vyote majina mawili tu ila nida , kuzaliwa ni majina matatu. Nishafanya saili kibao PSRS sijawai zuiwa sio Written wala oral.
 
Na Mimi tatizo langu ndugu,Cheti Cha form 4 kina majina mawili tu(juma hamisi)alafu Cheti Cha Diploma, certificate,NIDA,kuzaliwa natumia majina matatu(juma Peter hamisi),hii imekaaje ndugu????nawaza hapa maana Kuna hatari ya kukosa salary ya mwanzoni
Hapo shida kidogo ilotakiwa vyeti vyote vya taaluma majina yawe idadi sawa kama mawili basi kote mawili na kama matatu basi kote matatu, kwa sababu tunapoomba chuo tunatumia cheti cha form 4 sasa kwanini jina la cheti la chuo yatofautiane....hapo watakuzingua ila f4, f6 na chuo yangekuwa mawili wangekukubalia
 
Mimi nina case kama hiyo vyeti vina majina mawili nida majina 3,jina la 3 halipo hata kwenye cheti cha kuazaliwa kuashiria pengine ni la ukoo .

Nilichukua affirdavity na kazini sikudaiwaga chichote zaidi ya kufanyiwa uhakiki wa ana kwa ana necta mwezi hu nakula mshahara wangu wa 5 bila tabu
Yeah ndo ipo hivyo mkuu, jina la tatu sio la lazima kama haya mawili ya kwenye academic yapo kwenye mpangilio sawa pamoja na spellings na yale ya kwenye nida.
SHUKRANI KWA USHUHUDA
 
Wakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.

Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.

Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.

Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.

Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.

ULUMBI
hongera sna champ,hakika huu uzi umebeba baraka
 
Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Hongera sana mdogo wetu, hakika shuhuda zinatupa faraja sana ambao atujalamba asali
 
Hongera sana mdogo wetu, hakika shuhuda zinatupa faraja sana ambao atujalamba asali
Kaka huyu sio mdogo wetu ni mkongwe mwenzetu, tangu 2014 amesema amemaliza chuo baada ya kuona mambo magumu miaka hii ya karibuni kajiongeza kusoma diploma na ndio iliyompa kazi baada ya kumaliza
 
Back
Top Bottom