Ukiangalia historia za africa utagundua, kama nchi ina machafuko au wasiwasi wa kupinduliwa au kuwepo na uasi basi rais wake hathubutu hata kutoa mguu wake kwenye nchi yake hata kwenda kwa jirani yake anaepakana nae, kwa hofu ya kupinduliwa atakubakishwa huko huko nje, Mbona JK tangu alipo toa...