Is it true Tanzania is the 2nd Largest Economy in East Afrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it true Tanzania is the 2nd Largest Economy in East Afrika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Mar 9, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Yes I'm asking. Is this true or a joke?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Kwanini iwe joke? There are 3 countries, Kenya 1st, TZ 2nd, Uganda 3rd.
   
 3. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  it doesn't matter......how are the ordinary (majority of the) citizens benefiting from this?
  and forget the ranking, is the economy where it supposed to be?

  someone should come up with hard facts/figures showing where we should be vs where we are.....
   
 4. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hata wajinga wana mjanja wao.
   
 5. F

  Fareed JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0

  Real GDP (gross domestic product) or economic output of East African economies in 2009

  1. Kenya $19.6 billion
  2. Tanzania $12.39 billion
  3. Uganda $10.87 billion
  4. Rwanda $3.68 billion
  5. Burundi $0.837 billion

  (Source: East African Community)

  To answer your question, YES Tanzania is east Africa's second largest economy. But it will soon be overtaken by Uganda thanks to the slow pace of economic growth in Tanzania and Uganda's new-found oil wealth. Within the next few years, Tanzania will be East Africa's THIRD largest economy.

  I hope that helps...
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Afrika Mashariki ni zaidi ya nchi tatu, nchi tatu ulizotaja zinajulikana sana kuwa nia za Afrika Mashariki kwa ajili ya "community" iliyokuwepo awali "East African Community", na kwa sasa "community" hiyo ime kuwa na kuongezeka Rwanda na Burundi. Ki Jiografia, Afrika Mashariki ni pamoja na Somalia, Ethiopia, Malawi, Zambia.

  Wazi kwa kurekebishwa.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  With Oil, Uganda will not only overtake Tanzania.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Provided that revenue money wont end up in M7 bank accounts
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Sio kweli mkuu, hakuna definition moja ya East Africa, nadhani yangu ndo inayokuja akilini mtu akisema East Africa.
   
 10. M

  Mtaalaamuna Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes and it is real that we are going to overtaken by UG du to those FISADIS' who harvest the fruits on atree by cutting the branch or the whole tree JK!!!!! :A S 13:
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  GDP ni namba ambayo inaweza kudanganya sana, ongezeko la GDP halimaanishi kuwa maisha ya watu yanaboreka. Unaweza ukawa na GDP kubwa lakini watu wachache wanagawana.
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kwa mujibu wa latest report ya World Bank (World Development Indicators, last updated March 8, 2011 ). GDPs za nchi zote za Africa Mashariki ni hizi hapa:

  1: Kenya 29.376 Billion USD
  2: Ethiopia 28.526 Billion USD
  3: Tanzania 21.623 Billion USD
  4: Uganda 16.043 Billion USD
  5: Zambia 12.748 Billion USD
  6: Congo DRC 10.575 Billion USD
  7: Rwanda 5.064 Billion USD
  8: Burundi 1.325 Billion USD
  9: 917.044 Million USD

  Hiyo ya kwako sijui umetoa wapi? na kwa mwendo huu baada ya miaka kumi ijayo sana sana Kenya ndio itashuka kutoka hapo ilipo na kuwa number nne....Hii inatokana na resources zilizopo kwenye nchi jirani zake....Kwa mfano, Uganda Oil, South Sudan Oil, Tanzania gas, Minerals etc....

  Kumbukeni kuwa pamoja na ufisadi na wizi unaotokea kwenye sekta ya madini hapa bongo, lakini bado hii sekta imechangia kwa kiasi fulani kukua kwa uchumi wa bongo. Nadhani kwa wale wenye kumbukumbu wanajua GDP ya bongo ya mwaka 2000 ilikuwaje....:A S 112:

  Tazama link hii hapa chini:
  World Bank, World Development Indicators - Google public data
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Hii inaleta maana na imekaa ki-jiografia, hiyo namba 9 nadhani ni Somalia, au?
   
 14. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ya, namba tisa ni Somalia...
   
 15. F

  Felister JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hizi data zako za kweli mbona za UN zinasoma tofauti how comes Kenya 2008 ina $30 bil alafu 2009 iwe 19.6; Uganda in $15.8 na Tanzania $20.7Bil?

  Sasa njoo kwenye GDP per capita uone Tanzania tunavyochekesha Rwanda ina 458.5, Uganda ina 500, Tanzania tuna 495.9 (UN 2008) which means Uganda wako juu kwenye welfare kuliko sisi! Uganda kama watakuwa majogoo east Africa kama mafuta yataanza kuchimbwa. Kinacho nishangaza wakati major partner wa Kenya kwenye export Tanzania na Uganda wamo na ukiangalia Uganda, Kenya imo which means wanalitumia vizuri soko la East Africa njoo kwetu sasa uone maajabu Switzerland (sijui tuna trade the EPA and the like), S.A na China. Sasa angalia uchumi wa nani uko sustainable? Inaonekana sisi tuna trade labda utalii, ufisadi na madini sijui? Lakini wenzetu wana trade locally produced products kama ma sosage, maziwa, juice etc yenye impact kwa local people's income. Is not difficult to see why mikataba tata inalipa look at whom we trade with.....Sasa huo uchumi uta tricle down lini kwa mwanakijiji wa Isagamagamba kule Ifakara? Je kama tungekuwa tuna trade na Kenya na Uganda kwenye mchele wetu wa Kyela na Ifakara partners wangebakia hao?
   
 16. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Daima nimekuwa naamini wewe ni mtu makini sana, tofauti yetu ni kitu kimoja tuu, hongera sana.
   
 17. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kusema Tanzania ni ya pili kwa uchumi wenye nguvu Afrika ya Mashariki ni sawa na kusifia jimwanaume linalopiga wanawake Darasani.
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nahisi GDP per capita ingeboresha mlinganisho zaidi.
   
 19. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Duh! Avatar yako inatish, yakhe!
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Binaadamu kutofautiana ndio ubinaadam wenyewe, hata washirika wa maisha, mke na mume, huwa wanatofautiana. Natumai, tofauti zetu ziwe za faida na si hasara na kila mmoja aangalie jema lipatikanalo kutoka kwa anao-tofautiana nao na aache ambalo halina manufaa.
   
Loading...