Recent content by MSWATI III

  1. MSWATI III

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wadau mwenye link ya kuangalia mpira online please share. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. MSWATI III

    Wahadhiri vilaza huzalisha wasomi vilaza

    Mtoa mada umekua bias sana kwenye uandishi wako especially pale unapomwita huyo mhadhiri kilaza. Pamoja kua hio ilikua ni Test one still huyo mwanafunzi kapata 26/50. This is an average student kwa sababu Test 1 inafanyika mapema sana meaning kua hata vitu vya kusoma upande wa mwanafunzi bado ni...
  3. MSWATI III

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Naomba uni PM namba yako mkuu
  4. MSWATI III

    Samahani mke wangu

    Pole sana mkuu Zogoo. Umebahatika kuoa mwanamke mcha Mungu. Mshikilie, mpende na mjali kwa nguvu zote. Hio michepuko yako piga chini.
  5. MSWATI III

    Samahani mke wangu

    Huu ujumbe umenigusa sana. Thanks zogoo. Ningependa kujua kama mkeo alikusamehe au ndo keshasepa.
  6. MSWATI III

    Mwanamke ni Kinanda Tu...

    Unatumia beer gani stunter??
  7. MSWATI III

    Nimegundua mchezo mchafu wa mke wangu

    Mshukuru Mungu kakuonyesha uovu wa mkeo. Kulala na wanaume 17-25 kwa mwezi sio mchezo. Huyo ni zaidi ya changudoa. Ushauri wangu ni kwamba huyo sio mke. Tafuta mwingine oa mkuu. Otherwise pressure itakuua soon coz kila atakapokua shift ya usiku lazima utakua na stress ya mkeo kuliwa. Tena...
  8. MSWATI III

    Love terrorist

    What a great text. Well written and with strong message.
  9. MSWATI III

    Kasheshe vituko na vitimbwi vya mimba

    Dhu! Jana nimetibuana na mke wangu na ni mjamzito. Kumbe kile kisirani na hasira yawezekana sio kile kiburi chake cha kila siku. Hata kabla ya mimba hua ana kiburi sana. Muda mwingi nashindwa kutofautisha kiburi chake cha asili na kile cha mimba. Nitaisoma namba mwaka huu.
  10. MSWATI III

    Umejenga nyumba yako kwa muda mrefu kwanini uibomoe kwa muda mfupi?

    Thanks Kichomiz kwa mada nzuri. Ndoa nyingi zimevunjika kwa huu uzembe wa wanaume kuendekeza michepuko. Nikisoma kisa cha Samson na Delila nagundua kua wanaume wengi tunakua dhaifu tukishapenda. Samson was very strong physically but very weak emotionally. Ndo maana Samson pamoja na nguvu zake za...
  11. MSWATI III

    Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    We mleta maada umekula maharage ya wapi. Umeandika ----- tupu. No research no right to speak. Anza kujenga safina kama Nuhu coz mafuriko ya October ni hatari.
  12. MSWATI III

    Fursa hii itumikaje? Free office space, free internet, free stationaries

    Thanks Rechungura kwa huu ushauri. Nawezaje pata information zaidi juu ya fursa kiongozi?
  13. MSWATI III

    Nahisi mama mkwe ana mpango wa kumaliza ndoa yangu

    Mkuu what if sio ndoa halali?. Wanaishi pamoja na wana watoto 2 japo hawajafunga ndoa halali. Je hii inamwondolea mshikaji haki ya kuuliza hizo issues???
Back
Top Bottom