Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika zilizokwenda hadi sasa ni 64

Kuna kitu chaitwa "game management" baada ya kuongoza kwenye mechi..

Hii kitu Pep Guardiola na Klop wanapenda sana kutumia mtindo huu inapofika dakika ya 70

Nadhani Arteta anae atafuata hii formula.
 
Dani Ceballos anatoka na anaingia kiungo mkabaji wetu Lucas Torreira.

Hii ndo yaitwa game management

Well done Arteta.
 
Back
Top Bottom