Recent content by msuya4real

  1. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    Hii Serikali Inafanya Mambo ambayo Muda Mwingine hayaeleweki Pesa yenyewe ya Septemba Imekuja Kuingiza Mwezi wa 11 Kinyume na Utaratibu kwa Hiyo Ngoja Tuona Tunakoelekea Maana Shule ni za Kwao Sio za Wakuu wa Shule au Walimu Wakuu
  2. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kumbe makarani wa Sensa hamjalipwa hata Senti tano mpaka leo

    Watu waongo Mbona Watu Wameshalipwa Sehemu Zingine
  3. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2008

    HELLO: NAOMBA KUJUA NAMNA YA KUPATA MATOKEO YA DARASA LA 7 KUANZIA MWAKA 2008 HADI 2011
  4. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kuondoa e-mail katika samsung acount

    Neno sahihi ni email
  5. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kuondoa e-mail katika samsung acount

    Simu sio ya Wizi ni ya Kwangu, Na mmi Nimeuziwa na Mtu Aliyeinunua kwa Mtu naye
  6. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kuondoa e-mail katika samsung acount

    Kuondoa inanitaka niweke Password ya Yule Mtumiaji wa Awali na hata Kufanya Restore inataka Niweke Pasword ya Mwanzo
  7. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kuondoa e-mail katika samsung acount

    habari Mkuu ni email
  8. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kuondoa e-mail katika samsung acount

  9. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Kuondoa e-mail katika samsung acount

    Naomba kujua Jinsi ya Kuondoa E - Mail ya Mtu katka Samsung Account, Simu nilinunua kwa Mtu ambaye Sina namba zake, Nataka nisajili Account Yangu Kwenye Samsung kwa Ajili ya Security
  10. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kufungua Google Akaunt ya kikundi cha jamii

    Naomba Kujua Utaratibu wa Namna ya Kufungua Google akuanti ya Kikundi cha Kijamii (Vicoba) kwa Ajili ya Kuomba Usajili. Msaada Mwenye Kujua naomba ufafanuzi Please.
  11. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya TEHAMA ndio inaiba fedha zetu au wasimamizi?

    Hapa wanacheza Shere Wenyewe, Mifumo wanaitengeneza wao na ndio Wanaoiendesha wao lazima wanaichezea Kwa Malengo yao binafsi
  12. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lipo Kundi la WhatsApp kwa Ajili ya Kutoa na Kudiposit Kwenye 1x bet Bingwa wa Mabingwa Ktk Bet Sent using Jamii Forums mobile app
  13. msuya4real

    JamiiForums Tanzania Msaada ya Kuiwezesha Line Ya TTCL kuwa ya chuo

    Naomba msaada wa kuiwezesha laini ya TTCL kuwa ya Chuo, Naomba kujua utaratibu wake
Back
Top Bottom